Ogopa wanaume matapeli

Ni kweli kabisa
Wanatumia dawa hapo nilisahau kuandika
Hasa wanaume hawa wanaojitambulisha me msukumaaa
Yani akisema tu msukumaaa kimbiaaaaaa maaana wana dawa balaaaa
Ngoja waje wahusika WA nchini Chato waje wakutolee Povu.....
 
kazi ya mwanamme kutoaaaaa....mpaka lini?..ulimwengu wa sasa sio ule wa mwanamme kuwa anaprovide peke yake katika ndoa..maana siku hizi mwanamme na mwanamke wanapata haki sawa..wanawake wamepata ajira kwani pesa zao za kazi gani?..hivyo mm kama mwanamme niwe natoaaa hela za matumizi ya nyumbani,nakupa wewe hela ya matumizi yako binafsi,nalipia wanangu school fees,nalipa mishahara ya wasaidizi wa pale nyumbani........we kazi yako kufanya nn wakati shugli zote za kinyumbani zinaendeshwa na househelp????kisha unambia "wewe mwanaume kazi kutoaaa"...
 
Sijasoma posti yako kwa sababu nilipoona umemweka Munisi fasta nikafungua ili niburudike, safi sana kwa muziki huu wa zilipendwa. Lakini huo nao ni uroho wa tamaa ya mwili nyie wadada. Mtu humjui, anakutokea unakubali, anakudanganya kuwa ana vitu vikubwa vya thamani nawe unalegea. Hujiulizi wangapi kawada ganya na kuwabutua kwa utapeli? Au kwa sababu huwa wamejipaka poda, kunyoa oooo, tai kubwa, pafume ya kujibana, pochi uchwara kubwa, suruali modal, simu tatu kubwa za mchina, fake gold shingoni, funguo bunda za gari fake, na viatu spesho vya mchina na wakitembea wanatikisa na kunyonga viuno kama wapo Miss Bantu Context? Kwanini msiwe wagumu kama enzi zetu mpaka ukubaliwe ni msoto wa nguvu? Haina jinsi, mtadanganywa sana na matapeli wa mapenzi watawashughulikia, ukija gundua kuwa uliyempa siye itakua too late na itakuwa siri yako. Huna hata aibu kutueleza kuwa alikushikashika tu ila hamkufanya chochote, mnapenda watu wanaoigiza kuwa wana fedha na maisha safi, wakati wenye mali au fedha za kumwaga hawajitangazi. Siku nyingine tafakari na chukua hatua wewe. [emoji38] [emoji38]
 
Mkuu samahani lakini ku~quote Uzi wote huo unatuchosha sisi watumiaji wa simu
Pole MKUU....vp umepona vyeti feki....maana naona unashindwa kuvumilia vitu vidogo....


STRESS FREE...... kifo cha wengi ni.....
Utamalizia.....
 
Bro me nimeongelea wasio na ndoa jamaaa
Pia hata ukiwa kwenye ndoa mjombaa kwani ukitoa kuna shida gan labda?
We si mwanaume
Mwanaume wa ukweli mwenye hadhi zake na anae jielewa hata kama haki sawa bro hatofanya hayp ulioongea
Ni njaa tu za kibongo zinawafanya mkomae haki sawa haki sawa
Me najua wana ndoa wamoja wote wanafanya kazi lakini mwanaume ana provide kila kitu kwa mkewe na watoto na maids afu mshahara wa mke unasimama
Njaa hizi nazo mbaya kiru
 
Ngoja waje wahusika WA nchini Chato waje wakutolee Povu.....
Uuuwi ni sheedah

Wewe Money wewe, njoo kwangu tu
Aka staki

Bro povu vepee au na wewe ni mmoja wapo?!
Rudia kusoma tena waya naona umedandia gari kwa mbele wala haujui unachoongea nenda kasome tena afu uje ujione ulivyoandika ujicheke
 
Unalizwaje labda?!
Unabebeshwa mimba au?!
Kazi yako ni kutooooaaaaaaa
Kama vile Rais alisema KAAAAA TAAAA

Money Penny nasema TOOOOOO AAAAAA
Ukute dem anakazi yake tena anakuzidi mpunga bt shoo zote unasimamia wew.. Duuh mambo yamebadilika hata wew utoeee twende sawaa... Tunagawana bills
 
yeah..mwanamme atafanya yote hayo na ndio uanaume ila si sawa..kama mkeo ana kipato atoe usaidizi wake pale nyumbani..faham nilikuelewa vyema kabisa na si uungwana kwa yeyote yule..awe mwanamume kamwibia mwanamke,au mwanamke kamwibia mwanamme hamna linalokubarika...
 
80% ya papuchi zote nilizokula ni kwa njia ya utapeli....yaani uongo, usaliti na kila aina ya ulaghai, na mpaka sasa naendelea na formula yangu, na kila anayenigundua anakuwa kachelewa tiyari hivo mzigo naendelea kujilia maana hakuna namna tena......kuna nyumbu flani nilimdanganya nachezea AZAM fc, nkajilia mzigo kiulainiii
 
Unalizwaje labda?!
Unabebeshwa mimba au?!
Kazi yako ni kutooooaaaaaaa
Kama vile Rais alisema KAAAAA TAAAA

Money Penny nasema TOOOOOO AAAAAA
Khaaa una maneno jamani Dada Penny wewe...kabila gani ivi[emoji3] ila unaumizaga wa2 acha tu wanaogopa makavu[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…