Ogopa sana kifaa kinachoitwa “Wireless Speaker”

Anasema hivii; speaker pale Bungeni Dodoma anaingiliwa sana na wireless from ikulu Dar.

Ushaelewa?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji106][emoji109][emoji109]

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
Yaani spika iko Dodoma, lakini inacheza muziki unaotoka Dar!!! Hakika marekebisho ya haraka yanahitajika.
 
Muziki wa Dar una nguvu kuliko mziki wa Dodoma! Lazima spika zicheze muziki wenye nguvu na uliojisimika zaidi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Nyumsusa JB,tena hata uwe umeshika mic,na spika IPO karibu haitoi sauti ya mwangwi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Deep!!
 
Mtoa post umeeleweka vyema!!!Hiyo ndo technolojia ya wireless!!
 
Bluetooth ukiwasha ukiwa Dom mtu wa Dar anaona ur device.?
Ama it only works for devices in close range/ukaribu flani
 
Kabisa mtoa mada, bora hata spika za mtungi za awali tulikuwa na hakika chanzo mdundo, haya mambo ya remote hayafai kabisa,hata mdundo wa spika ni feki na dhaifu haueleweki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nmeisoma Mara ya PiliBaada ya Kuona Mdau Mmoja Kasema Tuangalie Post Ipo Wapi, #JukwaaLaSiasa [emoji1787], Myoa Mada Umeniweza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…