Ogopa sana kifaa kinachoitwa “Wireless Speaker”



Una akili nyingi sana ankoo.
 
Mimi sijamuelewa kabisa, Spika ya Dodoma na muziki wa Dar!! Hahaahaaaaaaa yaani nimekaa sijalala, natafakari ya kamati ya mnyakyusa mnyamwezi sijapata jibu. Kweli ukaa na mwizi lazima utakuwa mwizi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app


Spika aliyeko Dom anaingiliwa na mawimbi ya magogoni Dar.

Hujaelewa tu mpaka sasa?

Kama ushaelewa lala sasa.
 
Wireless Spika iko Dodoma halafu wireless microphone iko Dar. Watu wanasikiliza Spika ya Dodoma wakidhani mtambo uko Dodoma kumbe ile Dodoma ni Spika tuu, mtambo wenyewe uko Dar.
Kiukweli haya mambo ya wireless ni shida. This is my true story kuhusu adha za wireless nyumbani kwangu.
Mimi na jirani yangu wote wawili tunatumia TV za Samsung Smart TV, za same model, hivyo remote control ambazo ni wireless zinaingiliana, unaweza kuwa unaangalia taarifa habari ya TBC, jirani akipress button ya smart feature kwenye remote yake, kwangu inabadilika.

This is true kabisa na sio fasihi za Wireless Spika ya Dodoma mtambo Dar.
P
 
Wireless ni bure kabisa. Kuna mdada kaamua kuweka mziki wa kumsifia mtu, katolewa nje kisa, wimbo ulikuwa unadhalilisha wana Dodoma. Nahisi mziki ulisikika Dar/Mtwara mawimbi yakapeperusha tena Dodoma. Tunakoenda kunasikitisha.
 
Nakumbuka zamani miaka ya 1998-2002 nyumbani kulikua na antena zile za chadema,halaf home ni karibu sana na ofisi za usalama wataifa ilikua nikiset freequency flan naskia mazungumzo yote yanayoendelea kwa njia ya simu/radio call duuh noma,nikamwambia mshua nae nikamskilizisha akaniambia dogo usitake kuniletea balaa nyumbani kwangu kesho yake akaja na fundi kucheki wamekuja na dishi zile nyeusiza chekecheke wakashusa antenta wakafunga ule mdude,...........mambo ya wireless spika, dodoma wanacheza mziki wa magogoni DSM
 
You can't connect one device in two connections. Hasa wireless speakers or headphones, but inaweza kuwa destructionnetwork nyengine, ikiwa itakuwa so close.
Mkuu wewe haujamuelewa kabisa mshusha uzi.Haongelei speakers unazozijua wewe.

Rudi juu soma tena huu uzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16] [emoji16] [emoji16] , JPM na Ndugai , yupi Wireless na ni Yupi Subufa apo ? [emoji16] [emoji16] [emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mziki unaopigwa tz nzima unatokea ferry. Tutalaumu madj wetu hawaweki mziki mzuri kumbe music system ipo ferry. Na mbaya zaidi tz nzima tuna music system 1 tu
 
Mkuu Jackson Benedicto Nyamsusa, habari za siku nyingi?
 
Hongera kwa uandishi wa kutumia utashi na lugha nyepesi hata Mimi wa la Saba nmeelewa haswa na hautaitwa kuhojiwa popote
 
Hicho ki spika kishageuka kuwa twita* sauti yake pia huwa haijakaa njema bila Bass* mbaya zaidi Bass inangurumia Dar...!

Sent from my Redmi S2 using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…