Yees...hapa LIWALO NA LIWE!
POLENI SANA NDUGU ZANGU WAGONJWA!
Mtendaji mkuu wa serikali, Pinda alithibitishia umma wa watanzania kuwa serikali haijali chochote kinachohusu wananchi wake, labda kwa kuwa 2015 bado mbaliWao wanawapeleka ndugu zao private na India,
Liwalo na Liwe na wewe Dhaifu, .
Hii yote serikali iliipindisha ikaonekana kuwa madokta wanataka mijihela tu!Tatizo ni sisi watanzania kuwa hatuna vision! MaDR wameanza harakati za kukomboa hali ya utoaji wa huduma za afya nchini!ebu angalia wagonjwa wamelala chini na wengine hata vigodoro hawana! Hata mahabusu hakuko hv! Wanalipeleka wp taifa hili?
Nadhni ni nchini kote,Nimepata Taarifa kuwa hata Bugando uko wa kichinichini,ili upate huduma lazima uongee na mlinzi akutafutie Dr.te umpe kitu kidogo, vinginevyo utapoteza mgonjwa wako.