Ogopa ma senior bachelor

Kwenye mitandao ya kijamii wanadai kuwa eti wewe ni field marshall bachelor eti ni kweli wewe una cheo kikubwa hivyo mwaya?
 
Nina cheo kizuri>Principal Bachelor.
 
Mkuu umenichekesha sana Pokea like yangu
 
Mimi mtu akija kwangu hawezi kuamini nikimwambia sina mke.
Naishi maisha ambayo hayana totauti na wenye familia.
 
Haaaa

Kunbe na wewe bachelor? ?
 
Kutokea juu na Kutokea chini, hilo andiko la kati linanihusu aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…