succinate coA hydrogenase
Senior Member
- Dec 30, 2015
- 185
- 223
Field martiall katishaaaa hahaaaabachelor rankings...
18 - 22 yrs - Bachelor I
23 - 26 yrs - Bachelor 2
27 - 29 yrs - Senior Bachelor
30 - 33 yrs - Principal Bachelor
34 - 37 yrs - Deputy Chief Bachelor
38 - 40 yrs - Chief Bachelor
41 - 48 yrs - Bachelor General
49 - 53 sponsor
54 yrs............Field Marshall.
C&P
Mi nina bachela ya kwanza mpendwa..Ukiona mtu huko uraiani unikumbuke basibachelor rankings...
18 - 22 yrs - Bachelor I
23 - 26 yrs - Bachelor 2
27 - 29 yrs - Senior Bachelor
30 - 33 yrs - Principal Bachelor
34 - 37 yrs - Deputy Chief Bachelor
38 - 40 yrs - Chief Bachelor
41 - 48 yrs - Bachelor General
49 - 53 sponsor
54 yrs............Field Marshall.
C&P
Ucjal babaHata kidogo!
Ni choice tu, mbona wengine wanakwenda na wana watoto, kule unakutana na watu wa age yako,breakfast on time.
Ukienda uwe na akili zako timamu. Honestly ninawapenda sana, mnaweza kukaa wote hospitali mpaka asubuhi na hakuna aliyempigia simu kumuuliza uko wapi?So ni wazuri au wabaya?..Mana mleta mada anasema waogopwe
Aiseeh..haya mwenzanguUcjal baba
Kama upo 55+ na unaona ni kawaida, wewe umebarikiwa. Kwa walio wengi huo ni umri mbaya hasa ikianza barehe ya pili kwa mwanaume
Don't worry ninaanza kutekeleza amri ya mkuu wa nchi, kufyatua.ukienda nursing home na huna watoto,ukijipa matumaini kuwa utapata marafiki wengine huko nursing home,then utajua utamu wake pale marafiki zako mnaokula wote breakfast,wakianza kutembelewa na watoto wao...
ukienda nursing home na huna watoto,ukijipa matumaini kuwa utapata marafiki wengine huko nursing home,then utajua utamu wake pale marafiki zako mnaokula wote breakfast,wakianza kutembelewa na watoto wao...
Itabidi kukutafutia kea haraka....kabla hujafikia u-chiefMi nina bachela ya kwanza mpendwa..Ukiona mtu huko uraiani unikumbuke basi
Mimi wa kiume mkuuUcjal dada
Ya kiume....Ni kwa sex zote ?
Poa mkuuMimi wa kiume mkuu
Ya kiume....
bachelor rankings...
18 - 22 yrs - Bachelor I
23 - 26 yrs - Bachelor 2
27 - 29 yrs - Senior Bachelor
30 - 33 yrs - Principal Bachelor
34 - 37 yrs - Deputy Chief Bachelor
38 - 40 yrs - Chief Bachelor
41 - 48 yrs - Bachelor General
49 - 53 sponsor
54 yrs............Field Marshall.
C&P
Fanya kuedit basi hiyo dadaPoa mkuu
Sawa mkuu sorryFanya kuedit basi hiyo dada
Nadhani itakuwa taasisi ya mabachela.....
Fanya hivyo mpendwa..Hii bachela niliyonayo inanitosha..Sitaki kuongeza tenaItabidi kukutafutia kea haraka....kabla hujafikia u-chief