Ogopa hizi shuhuda

Mshana nadhan sio mtu mmoja. Ni icon flan. Ni ngum ujue kila kitu hiv. Watu weng wanawazia kupata bila kujihoji proccess ya kupata kwenyewe. Lakin kuna wanaopiga kupitia uhalisia hasa hawa wa kuleta fursa mkauziwa mbegu flan kama chia na mlonge au sungura alaf una mzigo soko hulioni.

Mengine ni ukosef tu wa watu kutumia mr google kwa faida. Vipigo vingi vilishachanwa humo. Na vingi ni kazamani. Watu weng wana pesa lakin wako mal-informed. Kweli kuwa na pesa na kuwa na akili kuna wakat vinapishana! Ila ndg Mshana umeacha orodha ndef sana ya vipindi. Atakayejihis anaelekea kupigwa anitafte nimchane vizur.
 

Jr
 
Vipi kuhusu corona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hao forever ndo hatar Sana!

Wakishindwa kukushawishi wanakuomba uwape namba za rafiki zako.

Kwa jinsi wanavyoendesha biashara zao Kuna aina fulan ya utapel.


 
Dunia ingekuwa na maisha rahisi kama wanavyotuaminisha... Sijui ingekuwaje
Kama hao forever ndo hatar Sana!

Wakishindwa kukushawishi wanakuomba uwape namba za rafiki zako.

Kwa jinsi wanavyoendesha biashara zao Kuna aina fulan ya utapel.
na bei halisi ya bidhaa moja hukuzwa zaidi ya mara 20 kulingana na mikono ya mawakala ilimopitia

Jr
 
Mshana vp kuhusu hawa jamaa wanaojiita Jamalife umewahi kuwasikia? Kuna rafiki yangu alinishawishi sn kujiunga lakn roho ikagoma kabsa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maelezo yao yanakinzana na hiki walichoweka hapa.. Hawa ni wapigaji Ka wengine kina PYRAMID DECI, billionaire club nknk..
CEO wake ni Mnaija
Mshana vp kuhusu hawa jamaa wanaojiita Jamalife umewahi kuwasikia? Kuna rafiki yangu alinishawishi sn kujiunga lakn roho ikagoma kabsa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiingilio dola 5.. Akipata watu 20 kila siku hajaishi huyo?

Jamalife is a humanitarian and philanthropic organisation. ... Jamalife is sponsored by renowned multinational organisations like Hyundai Motors, GAC Motors, Hewlett Packard, Diamond Bank, LG etc. JAMALIFE works through the pool of resources donated by partners like all registered members here who share its vision



Jr
 
Yupo mtu mmoja ananivuta tangu mwaka jana, uzuri nishawajua hua nampotezea.


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Unachosema ni sahihi,kuna rafiki yangu kapigwa kule QNET ananiganda na mimi nijiunge,nimemkatalia.
Kanibadilikia kabisa hataki hata salamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…