Ofisini sasa jivi ni mwendo wa MagufuLunch

Ofisini sasa jivi ni mwendo wa MagufuLunch

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
ImageUploadedByJamiiForums1448434351.007936.jpg Hii ni breakfast ya mtu mzito sana.Leo kahamia mrengo kushoto hali ya uchumi imeanza kudhoofu
 
Baada ya miezi 3 tu kuna watu wataanza kubadilisha ukubwa wa suruali zao ..fundi punguza kiuno toka 40 hadi 36 ama 35. Hapa kazi tu.
 
hamna bwana jamaa hali nyama kwa Sasa kashauriwa na dk apunguze nyama
 
Baada ya miezi 3 tu kuna watu wataanza kubadilisha ukubwa wa suruali zao ..fundi punguza kiuno toka 40 hadi 36 ama 35. Hapa kazi tu.

Mi nasubiri wakianza weka bond magari na mijengo
 
Mi nasubiri wakianza weka bond magari na mijengo

Mkurugenzi wa jiji la arusha una habari ya ufisadi unaoendelea hapa Kata ya kati kupitia kitengo kinachojinasibu cha mazingira? Wanagawana fedha za wananchi kama pipi. Unakuta wanaingia kwa wananchi mpaka ndani na kukagua na kumpiga faini ya laki tatu. Akijaribu kuoji anatishiwa kuwa watamlipisha milion tatu na nusu. Mbaya zaidi wakishapata hiyo fedha wanaleta asilimia 30% ya mapato waliopata. Zingine wanagawana kama njugu. Je hiyo ndiyo sheria uliowapatia.?vitabu walivyonavyo siyo vya jiji Ila wana fanya huo wizi na copy rist. Hayo ndiyo yanayojiri ndani ya Kata ya kati.
 
karbia tutahamia kwenye vitumbua na mihogo ya kuchemsha.
 
Back
Top Bottom