Ndugu usitoneshe vidonda vya watu na machungu ya awamu iliyopita. By the way hicho chama kimewapa watu ulaji pamoja na vyeo sehemu kadhaa kadhaa. Tusubiri sasa chama mke wa Mfalme sijui chake kitaitwaje?
Tusaidiane jaman vikoba siku hizi fungu hawalion wadau....kwan ule mfumuko wa vikoba kila mtaa ulikuwa funded na nani?? Maana toka magu aingie wanawake wanalaumu hakuna mikopo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.