Ofisi za RITA Dar es salaam zipo wapi?

walitola

JF-Expert Member
Nov 28, 2014
4,796
5,520
Habari wana jukwaa pendwa nawasalimu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kufahamu zilipo ofisi za RITA kwa hapa dar es salaam zinapatikana wapi?

Kwa maana kesho naitaji kwenda huko kufatilia inshu fulani kwa yeyote anaezijua mahali zilipo please naomba anielekeze.

Asanteni.
 
Habari wana jukwaa pendwa nawasalimu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kufahamu zilipo ofisi za RITA kwa hapa dar es salaam zinapatikana wapi? Kwa maana kesho naitaji kwenda huko kufatilia inshu fulani kwa yeyote anaezijua mahali zilipo please naomba anielekeze.
Asanteni.
Posta maeneo ya Askar tower, Mlio zaliwa dar njooni mnisahihishe
 
rita.png


CONTACTS OF REGISTRARS:-
RITA HEAD OFFICE:-
Physical Address:
RITA Tower, 4 Simu Street

Postal Address
P.O Box 9183,
Dar es Salaam, Tanzania

Fax: +255 (22) 2924182
Telephone: +255 (22) 2924180/181
E-mail: ceo@rita.go.tz, info@rita.go.tz
 
Hata pale nyuma ya muhimbili chukua toyo itakupeleka tu

Na kama unahtaji cheti cha kuzaliwa ukipate siku hiyo hiyo in pesa yako tafuta wadada wa mule ndani watakusaidia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom