Ofisi za NHIF

Ofisi za NHIF

fidelis zul zorander

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2012
Posts
687
Reaction score
179
Habarini wakuu, naomba kujuzwa office za hawa jamaa wa NHIF wanapopatikana hapa Dar es salaam, nashida nao sana wakuu.

Natanguliza shukraan!
 
Makao Makuu yao yako Kurasini,Kama unatoka Kariakoo na unatumia Public Transport Panda Gari za Mtongani zinazopita Ufundi ushuke kwenye kona ya Bandari ya kuelekea Mivinjeni af waulizie watu zilipo Ofisi za Bima ya Afya,wana Ofisi za Wilaya kwa Mfano wilaya ya Temeke wako lile jengo Opposite na Temeke Hospitali.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
asante sana
 
Mkuu samahani ukenda huko usiwe umevaa shati la mkono mfupi kwa sababu mi yashanifika
 
Back
Top Bottom