Ofisi za NHIF Kinondoni ziko wapi?

Grena

JF-Expert Member
Jul 30, 2016
657
1,542
Habari zenu wakuu.

Msaada kwa anayejua zilipo ofisi za NHIF Kinondoni. Nimejaribu Google maps lakini naona bado sielewi vizuri.

Shukrani.
 
Habari zenu wakuu.

Msaada kwa anayejua zilipo ofisi za NHIF Kinondoni. Nimejaribu Google maps lakini naona bado sielewi vizuri.

Shukrani.
Ingia website ya NHIF, kuna namba za simu, ukipiga watakuelekeza ofisi zilipo kulingana na eneo ulilopo.
 
Unaweza kuingia Google kwenye simu yako ukitafuta NHIF kinondoni wala huwezi kupotea
IMG_20210716_125255.jpg
 
Habari zenu wakuu.

Msaada kwa anayejua zilipo ofisi za NHIF Kinondoni. Nimejaribu Google maps lakini naona bado sielewi vizuri.

Shukrani.
Opposite Mlimani City,ukiwa unatoka ubungo kwa daladala shukia kituo kinaitwa Kivulini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom