Ingia website ya NHIF, kuna namba za simu, ukipiga watakuelekeza ofisi zilipo kulingana na eneo ulilopo.Habari zenu wakuu.
Msaada kwa anayejua zilipo ofisi za NHIF Kinondoni. Nimejaribu Google maps lakini naona bado sielewi vizuri.
Shukrani.
Nimeingia huko kote. Nikazoom naona iko sam nujoma road na sizijui barabara vizuri. Nashindwa kuilewa hiyo map, that's why nikaomba msaada wa maelekezo.Unaweza kuingia Google kwenye simu yako ukitafuta NHIF kinondoni wala huwezi kupoteaView attachment 1855802View attachment 1855803
Mkuu ni lile jengo refu sana, PSSSF Complex linalokuwa opposite na mlimani city kwa mbele kidogoNimeingia huko kote. Nashindwa kuilewa hiyo map, that's why nikaomba msaada wa maelekezo.
PoleNimeingia huko kote. Nikazoom naona iko sam nujoma road na sizijui barabara vizuri. Nashindwa kuilewa hiyo map, that's why nikaomba msaada wa maelekezo.
Ni Opposite na Mlimani City MkuuNimeingia huko kote. Nikazoom naona iko sam nujoma road na sizijui barabara vizuri. Nashindwa kuilewa hiyo map, that's why nikaomba msaada wa maelekezo.
Asante Sana mkuu.Mkuu ni lile jengo refu sana, PSSSF Complex linalokuwa opposite na mlimani city kwa mbele kidogoView attachment 1855813View attachment 1855808View attachment 1855807
Opposite Mlimani City,ukiwa unatoka ubungo kwa daladala shukia kituo kinaitwa KivuliniHabari zenu wakuu.
Msaada kwa anayejua zilipo ofisi za NHIF Kinondoni. Nimejaribu Google maps lakini naona bado sielewi vizuri.
Shukrani.
Ndio walivyo, utakaa online mpk utakata mwenyewe.Nimepiga hawapokei