Ofisi za muda za TAMISEMI Dodoma

Hivi mvua ikanyesha ya nguvu hizo fail au laptop na destop zitakuwa salama. Mie naona ni drama tu za cinema. Hakuna aliehamia wamebandika makaratasi ili ionekane huyo anaeogopwa apate kiki kuwa akisema lzm wafuate wakati yapo kibao yaliyowashinda. Kama Magufuli anasimamia vizuri neha za serikali imekuwaje ikatokea wizi wa matrillion kuliko hata kipindi cha Kikwete
 

Si ajabu kwa malengo ya kutafuta posho kuliko kukagua mazingira, hila hiyo ofisi ya TAMISEMI ni unyenyekevu na woga uliopitiliza hayo si mazingira yakufanyia kazi.

Lakini hii si ndio ilikuwa wizara ya kwanza kuhamia Dodoma tangu enzi za Waziri Mkuu Mstaafu Mzee Pinda au nachanganya mafaili?
Sifa za kijinga hizo!!! Na utakuta tatizo ni jiwe mwenyewe, kutopereka pesa kwa wakati na kutumia hao wakandarasi ambao hakuna mchakato wa tender!! Leo anataka kuonekana shujaa!!!
Wizara zote walipewa pesa sawa, Tamisemi wakatafuta njia njia kujenga ghorofa ambali limechukuwa muda mrefu kumalizika, sasa Mh Rais akasema wefanyekazi humo humo. Nafikiri ilikuwa "figuratively speaking" wangeweza hata kujenga kibanda cha mbao kwa siku tatu na kujihifadhi hapo huku ujenzi ukiendelea.
 
Tamisemi wana ofisi zao kali tu mjini tangu enzi hizo... sijaelewa kwa nini waache majengo yao town...

Nahisi tu wanazuga ili jamaa ajisikie vizuri.
Watu wako ofisini town.

Sent using LF Electromagnetic Waves
 
Hivi hili jengo bado halijaisha tu...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…