WILLAFRICA
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 4,027
- 933
Wakuu sana habari zenu!
Ni tukio lililotokea usiku wa kuamkia leo ambapo ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo zimeteketea kwa moto ambao haujajulukana chanzo ni kipi hadi sasa.
Kama kuna updates zitaletwa zaidi tuendelee kusubiri.