Ofisi za Halmashauri ya Kibondo, zateketea kwa moto

Ofisi za Halmashauri ya Kibondo, zateketea kwa moto

Ofisi ya mkurugenzi wilaya ya kibondo pamoja na masijala na ofisi ya afisa utumishi zateketea kwa moto usiku wa kumkia Leo.

Pamoja na taarifa hyo bado haijafahamika chazo cha moto huo na uchunguzi baado unaendelea.ofisi zote zimeteketea vibaya na hakuna kilicho okolewa.
 

Attachments

  • 1437124869849.jpg
    1437124869849.jpg
    35.4 KB · Views: 1,064
  • 1437124918730.jpg
    1437124918730.jpg
    31.2 KB · Views: 1,018
  • 1437124938798.jpg
    1437124938798.jpg
    30.7 KB · Views: 1,007
Kumekucha na makucha yake.........kwa kawaida bwana JOGOO huwa hawiki asubuhi tu muda wowote yee huwika tu hana muda maalum wala, akijiskia kuwika tu yee anawika aseee, heh heh.
 
Back
Top Bottom