Ofisi za AG na DPP kuna nini?

Sasa nimeelewa kwanini Wenyeviti wa serikali za mitaa waliungana bila kujali itikadi kudai mihuri.Kwa hakika "ugali" si mchezo ilibidi Lionchawene asalimu amri!
 
Pole dogo, umetumia maneno na mitusi mingi kuelezea kile kile nilichopost mwanzo kwamba hawa tatizo lao maslahi dogo! Unatetea wale rushwa kwa kuwa ofisi haiwajali, si ndio mgongano wa maslahi huo au una hangover ya st Kayumba dogo? Anyway umezunguka sana duara nafikiri ni shauri ya kuzoea kula rushwa, lakini bora umefika salama, tatizo ni maslahi dogo, sio madaraka, AG anavuna shamba asilolima! Watenganishiwe majukumu au mmoja wao afutwe!
 
Mkuu Hute wewe ni kama Hute (Bunduki kikwetu) kweli kweli, binafsi UMENIELIMISHA SANA na ubarikiwe sana. Kuna haja ya kuangalia upya mfumo wa uwajibikaji wa hizo idara mbili nyeti za Serikali maana yaliyosemwa jana na Mheshimiwa ni "shocking". Na mapendekezo yako nafikiri yatakuwa mwanzo mzuri. Pia isiishie hapo tu, mifano mingi sana Serikalini kwa mfano IGP na DCI na huko hiyo "configuration" iangaliwe upya.
 
Kuna vitu nilikua sivijui ndo navijua hapa...asante jf
 
Umeandika kitu usichokijua, Ofisi ya DPP ni sehemu ya ofisi ya AG kwanza hapo umeonyesha jinsi gani ulivyo KILAZA
 
Umeandika kitu usichokijua, Ofisi ya DPP ni sehemu ya ofisi ya AG kwanza hapo umeonyesha jinsi gani ulivyo KILAZA
Mi kilaza sawa, wewe mwerevu twambie kama ni ofisi moja nini kinawagonganisha maana kuniita kilaza bila kutoa majibu halisi hakujibu hoja bali kunaakisi haiba yako dhaifu na uwezo mdogo wa kujenga hoja!
 
Mi kilaza sawa, wewe mwerevu twambie kama ni ofisi moja nini kinawagonganisha maana kuniita kilaza bila kutoa majibu halisi hakujibu hoja bali kunaakisi haiba yako dhaifu na uwezo mdogo wa kujenga hoja!
Sasa kama kitu haukijui kwanini unakiongelea?
 
Sasa kama kitu haukijui kwanini unakiongelea?
Mie nakijua ndio maana nimeshare ninachokijua kwenye jamvi, huu ni mjadala wa wazi sio mahakamani, kila member anashare mawazo yake kuelekea muafaka, tunashare knowledge tofauti na wewe ambaye unatukana tu bila kusema unachodhani ndio sahihi! Yaani wewe unateleza tu kwa kucoment negatively bila kushare knowledge! Tukuiteje wewe kwa lugha yako wewe ya matusi, nikuiteje? Dumb, silly, idiot au tusemeje maana hueleweki dogo?!
 
Naomba kuweka muundo wa ofisi ya AG hapa ili angalau kutoa mwanga wa kitu tunacho kijadili maana wengine hapa huenda wameshindwa kuelewa wanazungumza kitu gani hapa.
Na ili kuweka kumbukumbu vizuri hii miamba yote I mean AG na DPP wote ni wateule wa mh halafu mmoja kawekwa chini ya mwenzake ndio maana mtifuano unakuwa mkubwa FAHARI WAWILI HAWAISHI ZIZI MOJA.
Organization Structure
 
Hujui lolote,acha kupotosha watu.Umepotosha hata jinsi hizi ofisi zinavyofanya kazi.
 
Hujui lolote,acha kupotosha watu.Umepotosha hata jinsi hizi ofisi zinavyofanya kazi.
Funguka wewe unayejua, hapa hakuna medali ya dhahabu, tunabadilishana elimu tu, unadai sijui napotosha wakti na wewe huonyeshi lipi sahihi si bora mie niliyejaribu ningepata hata 5 ya attempt kuliko wewe uliyeandika jina tu kwenye karatasi ya mtihani!
Mtu mwenye akili timamu mwenzie akikosea jambo anamwabia he he! Sio hivyo ni hivi au vile, sasa wewe Empty! Nani juha kalulu hapo?!
 
Nakupa high 5 na like Nathason2 kwa kielelezo hicho, nimepata ufahamu zaidi lilipo tatizo!
 
Nakupa high 5 na like Nathason2 kwa kielelezo hicho, nimepata ufahamu zaidi lilipo tatizo!
hawa wote DPP na AG wanateuliwa na mh Rais halafu unategemea DPP awe loyal kwa AG wakati wote wameteuliwa na raisi wana mshahara na kila kitu kinacholingana kwa namna yoyote ile AG kwa kuwa ndiye accounting officer wa ATTORNEY GENERAL CHAMBER atakuwa anajaribu kumkumbatia DPP kwapani wakati DPP anajaribu kujinasua kama kuku aliyenaswa na kicheche

Lakini kubwa kuliko yote kumbuka kipindi cha nyuma kabla ya 2008 huyu AG alikuwa ameunganishwa kwenye wizara ya katiba na sheria alikuwa anajaribu kumweka kwapanio mpaka waziri wa katiba na sheria na suluhu ikawa kuwatenganisha,

kwa hiyo endapo mh raisi anahitaji suluhu ili mgogoro usiendeleee atenganishe hawa watu wawili kwa kuwa hata katiba ya nchi yetu inawatambua kama watu tofauti.
 
Umeandika kitu usichokijua, Ofisi ya DPP ni sehemu ya ofisi ya AG kwanza hapo umeonyesha jinsi gani ulivyo KILAZA
ukilaza wake uko wapi ndugu yangu au mna respond hata vitu ambavyo hamvijui yaani bora liende? nyie ndo mnapaswa kuombewa ban kitu hukijui unamshambulia mtu kana kwamba wewe ndiye mkweli
 
Mwiba kwenye kidonda safi sana
 
Reactions: MTK
Hayo mabadiliko ndo yale yaliyoletwa na the National Prosecutions Service Act, 2008?
 
Reactions: MTK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…