Ofisi yapigwa burn! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ofisi yapigwa burn!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by chetuntu, Jan 22, 2011.

 1. c

  chetuntu R I P

  #1
  Jan 22, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Habari wadau , nasikitika ofisi yetu (international society) imepigwa burn marufuku kuvisit JF hasa jukwaa la siasa kutumia computer za ofisi. Mkuu wa utawala ameliweka wazi hatua kali za kinidhan zitachukuliwa kwa atakayekutwa live.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jan 22, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Kwani nyie mlikuwa mnaingia jf na kucomment hadharani na kila mtu anakutazama?
  Atakuwaje amegundua kuwa mnaconcentrate kwenye Jukwaa lasiasa?
  Ofisi za namna hiyo ni za kikoloni mno!...Mtu anataka awatawale kifikra miaka hii?
  Too amazing!..
   
 3. Mathias Byabato

  Mathias Byabato Verified User

  #3
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 908
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
   
 4. c

  chetuntu R I P

  #4
  Jan 22, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
   
 5. Ikimita

  Ikimita JF-Expert Member

  #5
  Jan 22, 2011
  Joined: Oct 23, 2010
  Messages: 302
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mimi ofisini kwangu nime-block kabisa during working hours isipokuwa muda wa lunch na baada ya muda wa kazi. Kila ofisi inafanya kulingana na matakwa yake ya kazi. Kuna watu wakiingia JF au kwenye social networking zingine huwa hawatoki, unakuta tabs ziko wazi muda wote kitu ambacho huathiri sana utendaji kazi. Ukifanya tathmini vizuri utabaini karibu robo ya muda wa kazi au zaidi kwa baadhi ya watu unapotea kwenye ku-browse social networking.

  Ushauri, ombeni ofisi iwape access muda wa lunch kwa mfano kati ya saa 7 na 8. Mara nyingi ofisi ndio huathirika zaidi kwa kuipandishia internet usage cost na efficiency deterioration.

  Think again.
   
 6. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #6
  Jan 22, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hongera sana kila kitu na wakati wake itafika muda utasahau hata kula au kulisha watoto na wanafamilia!

   
 7. C

  CLEMENCY JF-Expert Member

  #7
  Jan 22, 2011
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 211
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Hiyo ni ofisi au jumuia? (International society). Halafu wamejuaje kuhusu jukwaa la siasa?
   
 8. c

  chetuntu R I P

  #8
  Jan 22, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  labda nifafanue ofisi yetu tunapata access ya intenet kuanzia saa moja hadi saa nne usiku,ambao sio muda wa kazi . Ni part ya kusocialize, kama kwenda Tv room, Mchana tunakuwa out of network kuchapa kazi.
   
 9. 22nd

  22nd JF-Expert Member

  #9
  Jan 22, 2011
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  ni uamuzi wa office au kampuni kuamua ni website ipi wafanyakazi,wanafunzi wafungue na ipi wasifungue, ni popote pale duniani,na wala si ukoloni.kama wewe unavyomkataza mwanao asifungue website ya matusi.au kwasababu ni JF?
   
 10. c

  chetuntu R I P

  #10
  Jan 22, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ofisi ndani ya hiyo society, jukwaa la siasa sababu wadau hujadili yanayojiri nchini kupitia taarifa za jf, na mkuu wa utawala anapita hapo jukwaani sana ,kwa hyo anajua source yetu na tuko remote sana magazeti baada ya siku 3 hadi 4. Hata radio station ni za nchi jirani.
   
 11. c

  chetuntu R I P

  #11
  Jan 22, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  labda nifafanue ofisi yetu tunapata access ya intenet kuanzia saa moja hadi saa nne usiku,ambao sio muda wa kazi . Ni part ya kusocialize, kama kwenda Tv room, Mchana tunakuwa out of network kuchapa kazi.
   
 12. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #12
  Jan 22, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ya nini manyanyaso?Tumia Via Mobile!
   
 13. Tangawizi

  Tangawizi JF-Expert Member

  #13
  Jan 22, 2011
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 2,835
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  Ni kweli kabisa tuache kutegemea sana vitu vya ofisini tukawa tunachelewesha kazi. JF mara nyingine huwa inanoga sana. Na ofisi nyingi kwa sababu ya social networks wameanza monitoring ya matumizi ya mtandao. Tujiandae tusije kuadhirika kwa kuwa na mobile network
   
 14. N

  Nalonga JF-Expert Member

  #14
  Jan 22, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 216
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Jaribu kuingia gharama kiasi kwa ajiri ya social networking,tafuta laptop wireless modem now is everywhere hiyo itakuwa powa,au unaona easy kusocialize kwa kuwa hakuna gharama kwako?Hivyo ofisi ikifungwa hatukutani tena Jukwaani mkuu.....Hiyo ni ofisi Heshimu taratibu kiongozi.
   
 15. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #15
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mwambieni mna kipindi kifupi tu chini yake na marafiki zake mafisadi anaojaribu kuwatetea.
  Hata hivyo jaama jf inalewesha kabisa kama pombe msiendekeze sana. Tumieni ile sheria ya wanyuaji pombe BAADA YA KAZI.
   
 16. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #16
  Jan 22, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Poleni sana. Tumieni simu!!
   
Loading...