PreGE2025 Ofisi ya Msajili yatengua uteuzi wa wajumbe 8 wa sekretarieti na kamati kuu ya CHADEMA walioteuliwa na Tundu Lissu

PreGE2025 Ofisi ya Msajili yatengua uteuzi wa wajumbe 8 wa sekretarieti na kamati kuu ya CHADEMA walioteuliwa na Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Katie Mkuu wa Chadema John Mnyika ni Accounting officer, fedha haitoki Benki bila saini yake. Nashauri Mabenki yote nchi nzima yataarifiwe uwepo wa Amri halali ya Msajili wa Yyama vya Siasa.

Majaribio ya Mnyika kufanya miamala kwa niaba ya chama yazuiwe, fedha ya chama ibaki salama kwenye akaunti
Msajili kafanya hayo maamuzi chini ya kifungu gani cha Sheria kinachompa Mamlaka ya kufanya hayo?

Au kuna Mahakama iliyotamka Mnyika sio Katibu Mkuu wa Chadema?

Kweli CCM mmechanganyikiwa. Mwaka huu lazima mvae bukta kichwani.
 
Sawa tumekusikia
IMG_20250510_152609.jpg
 
Katie Mkuu wa Chadema John Mnyika ni Accounting officer, fedha haitoki Benki bila saini yake. Nashauri Mabenki yote nchi nzima yataarifiwe uwepo wa Amri halali ya Msajili wa Yyama vya Siasa.

Majaribio ya Mnyika kufanya miamala kwa niaba ya chama yazuiwe, fedha ya chama ibaki salama kwenye akaunti
Barua kama hiyo huwa inatolewa na chama, chama kiki approve kuwa si katibu wake basi wata cancel
Punguza mihemko kila kitu kina utaratibu
 
Kupata kichekesho hiko bonteza 1
 
Huko benki wakianza kutueleza kwanza hizi pesa za walipa kodi zilikopotelea kwenye utawala wa kuupiga mwingi itapendeza sana.
IMG_20240611_163734.jpg
 
Barua kama hiyo huwa inatolewa na chama, chama kiki approve kuwa si katibu wake basi wata cancel
Punguza mihemko kila kitu kina utaratibu
HQ lazima wafe njaa, soon wanajivua utumishi wa chama
 
Hata wafanyeje. CDM ipo na itakuwepo sasa hivi pesa inaoatikana juu kwa juu. Hapo Mara watapata hela za kutosha sana, sijui wakienda mikoa mwingine itskuwaje
 
Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika ni Accounting officer, fedha haitoki Benki bila saini yake. Nashauri Mabenki yote nchi nzima yataarifiwe uwepo wa Amri halali ya Msajili wa Yyama vya Siasa.

Majaribio ya Mnyika kufanya miamala kwa niaba ya chama yazuiwe, fedha ya chama ibaki salama kwenye akaunti
Shoga mnuka mavi kama wewe unapata wapi mamlaka ya kutoa tamko hilo.
 
Lissu na Heche wamekiuza chama.
Mbowe hakushitukia huu mpango?!!!
 
Mkutano mkuu usio halali Dodoma wa CCM msajili wa Vyama afumbia macho

View attachment 3332584
January 19, 2025: "Mkutano mkuu maalumu wa CCM wapitisha kwa kauli moja jina la Dkt Samia Hassan.

TOKA HABARI ZA KIMATAIFA, MAKALA YA KIUCHAMBUZI:

Pretoria, Republic of
South Africa

Rais wa Tanzania aachana rasmi na kinyago (mask) cha maigizo cha kuleta mageuzi kupitia 4R huku kukiwa na wimbi kubwa la kudumaza demokrasia Afrika Mashariki​

Tanzanian president drops pretence of reform amid retreat from democracy in east Africa​

Tanzanian president drops pretence of reform amid retreat from democracy in east Africa

President of Tanzania Samia Suluhu Hassan attends a meeting at the State House in Dar es Salaam on 8 February 2025. (Photo: EPA-EFE / Anthony Siame)

By Peter Fabricius Follow
11 May 2025 0
Toka maktaba :

4R’s ZA RAIS SAMIA ZAITIKISA GENEVA​

3 months ago
IMG-20250225-WA0097-810x607.jpg

Photo : Geneva Nchini Uswisi Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Dr. Damas Ndumbaro (Mb)
IMG-20250225-WA0094-1024x768.jpg

Akizungumza wakati akiiwakilisha Nchi ya Tanzania katika Kikao cha 58 Cha Haki za Binadamu kinachofanyika Geneva Nchini Uswisi Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Dr. Damas Ndumbaro (Mb) amesema kuwa, nchi ya Tanzania imeendelea kuweka kipaumbele katika uendelezaji na ulinzi wa Haki za Binadamu katika utekelezaji wa shughuli za Serikali.

Waziri Ndumbaro amesema kupitia Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,1977 na Katiba ya Zanzibar, 1984, Tanzania imeendelea kusimamia Utu wa Kibinadamu kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977 na Tamko la Kimataifa la Haki za Binadamu na inaendana na mkakati uliopitishwa na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan ambao umejikita katika 4Rs kuwa ni Maridhiano, Uthabiti, Mageuzi na Kujenga upya.

4R pia inagusa maeneo mengine ya usimamizi wa Haki za Binadamu yaliyowasilishwa katika Mkutano huo ni pamoja na kufanya Uchaguzi Huru na Haki kila baada ya miaka mitano,Uhuru wa Vyombo vya Habari na kujieleza, kulinda Haki za makundi hatarishi ukiwemo ustawi wa Watu Wenye Ualbino na Usaidizi kwa Watu wenye Ulemavu.
 
Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika ni Accounting officer, fedha haitoki Benki bila saini yake. Nashauri Mabenki yote nchi nzima yataarifiwe uwepo wa Amri halali ya Msajili wa Yyama vya Siasa.

Majaribio ya Mnyika kufanya miamala kwa niaba ya chama yazuiwe, fedha ya chama ibaki salama kwenye akaunti
Wewe kidampa wa mama Abdul soon utakosa pa kushikilia .

Nimembiwa na jana Gwajima na wanalumumba wengine wamechangia mabadiliko.

Wamechoshwa na sarakasi za kizimkazi.
IMG_20250531_192118.jpg
 
Back
Top Bottom