Mwanakulitafuta
Senior Member
- Sep 11, 2024
- 144
- 277
Habari ndugu zangu, ninaomba kuuliza ,ofisi ya mpiga chapa mkuu wa serikali nimeambiwa ipo Dar na Dodoma.Kwa upande wa Dar ipo maeneo gani tafadhali? Nitashukuru kwa majibu yenu.
Nashukuru kiongozi,hapa nipo Mbezi ya kimara make nimetoka mkoani.Kwahyo naelekea sehemu ganiIpo barabara ya Nyerere, karibu na ilipokuwa Wizara ya Mali Asili.
Ubarikiwe kiongoziUkifika pale Mkuki house ukiulizia maeneo yale utapata majibu
Panda basi shuka Magomeni, hapo panda la Mbagala shuka hapo Mataa ya Veta, hapo mdogo mdogo kama unaenda Kariakoo kulia kwako!...Uliza utaelekezwa.Nashukuru kiongozi,hapa nipo Mbezi ya kimara make nimetoka mkoani.Kwahyo naelekea sehemu gani
Panda Mwendokasi hadi Gerezani, halafu panda mabasi ya Buza, Temeke ushuke ilipokuwa Maliasili. Ni jirani kabisa na daraja la flyover la kwenda Veta.Nashukuru kiongozi,hapa nipo Mbezi ya kimara make nimetoka mkoani.Kwahyo naelekea sehemu gani
Unataka kufanya nnHabari ndugu zangu, ninaomba kuuliza ,ofisi ya mpiga chapa mkuu wa serikali nimeambiwa ipo Dar na Dodoma.Kwa upande wa Dar ipo maeneo gani tafadhali? Nitashukuru kwa majibu yenu.
Hili ni swali muhimu!Unataka kufanya nn
Wale jamaa wasumbufu mnooHili ni swali muhimu!
Vinginevyo,utakwenda Dar, wanakuambia nenda Dodoma.
Nataka kutoa taarifa yangu binafsi kwenye gazeti nimeelekezwa nije huku DarUnataka kufanya nn
MmmhNataka kutoa taarifa yangu binafsi kwenye gazeti nimeelekezwa nije huku Dar
Hapo ni Dodoma,MkuuNataka kutoa taarifa yangu binafsi kwenye gazeti nimeelekezwa nije huku Dar
Hapana hata hapo!, ila chambi lazima atoe...ha ha ha ( Facilitation fees).Hapo ni Dodoma,Mkuu
Embu wasiliana na ofisi ya Rais menejiment yab utumishi wa umma pia ndio wanaoratibu hilo gazette la serikaliNataka kutoa taarifa yangu binafsi kwenye gazeti nimeelekezwa nije huku Dar