Lituye
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 1,863
- 5,694
Watu wenye ulemavu Wa ngozi (Albino) wamelalamikia ofisi ya mkemia Mkuu wa serikali kwa kutoa majibu ya uongo katika vipimo mbalimbali vya viungo vinavyopelekwa kupimwa hapo.
Wakiongea katika taarifa ya habari SAA moja usiku huu ktk kituo cha TV channel ten, wamesema watu wamekuwa wakikamatwa na viungo vya albino lakini majibu yanayotolewa na ofisi hiyo sio sahihi ni ya kukanganya.
Kwa mfano wanasema vipimo hivyo hugeuza nywele za binadamu kuwa nywele za MDORI na mifupa ya binadamu kuwa mifupa ya KUKU.
Kimsingi utendaji wa taasisi hii inatia Shaka ukilinganisha umuhimu wake kwa taifa. Mimi mwanzoni nilizani tuhuma zinazotolewa ni za uongo dhidi ya taasi hii nyeti.
Hata Mimi nilisha kumbwa na mkasa mkubwa pale kwa mkemia. Nilipeleka vipimo vya nasaba lakini majibu niliyopata hata chizi hayakubali. Yaani ningekuwa na Ndumba mimi asingesalia pale hata MTU mmoja hakya nani.
Hii taasisi imulikwe haraka Sana la sivyo watu wataendelea kudanganywa na kupewa watoto sio wao na wenye watoto wao kupewa wengine.