pokrei
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 510
- 454
Habari ndugu zangu.
.
Kwa kuwa Hapa JF ni uwanja mpana.wa Watu wengi Na wa kutoka sehemu mbali mbali natumaini Hitaji langu litapata ufumbuzi.
Kama kuna Dalali au MTU yoyote kwa Hapa Dar Amesikiakuna office inapangishwa basi naomba aje Pm tuelewane.
Office inayohitajika.
Iwe sehemu ya kufikika kirahisi,kuwe Na Car parking,
Ofisi iwe nzuri ambayo inajitegemea
Iwe Na Maji,choo,bafu,umeme wa uhakika.
Maeneo kati ya Bamaga,mwenge,Ubungo.
Au mahali ambapo pataonekana panafaa Na kuwawezesha wafanya kazi kufikika kirahisi kwa mana ya Centre ya mji.
Tafadhari yeyote mwenye kufahamu hata kama sio Dalali lakini either unahama ofisi kama hiyo tafadhari nijulishe Ili Tuyaongee zaidi huko Pm.
Natanguliza shukrani ya dhati.