Ofisi ya CHADEMA - Mafia

Hapo ndio umewaza mpaka mwisho wa akili yako??yani mi naona tu kama unajiuliza swali mwenyewe unajijibu mwenyewe,kitu ambacho ungeweza kukifanya tu hata bila kupost huku Jf,in short hapo umekunya kitu flani hivi.
 

Akili yako ndogo, huna akili ya kuchambua mambo, unaposema mbunge wako ameshindwa, unamaanisha chama chako kimeshindwa pia kuwatumikia, ila kwa kuwa akili yako ni ndogo unakimbilia kuikandia chadema na uarusha wako. Na hili ndo litawamaliza safari hii maana bado mna mawazo ya miongo kadhawakadha iliyopita ambayo kizazi hiki cha doticom kinawaona kama wehu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…