Ofisi ya CAG ifutiliwe mbali

Ofisi ya CAG ifutiliwe mbali

Wewe ni mpumbavu sana!Unaelewa majukumu ya CAG?Ni nani anapaswa kuchukua hatua baada ya ripoti ya CAG kubaini ubadilifu?Serikali ndiyo inapaswa kuchukua hatua stahiki baada ya ripoti ya CAG kubaini ubadilifu.Maana yake ni kwamba mzembe hapa ni serikali na anaepaswa afutiliwe mbali hapa ni serikali na wala siyo ofisi ya CAG.Kama serikali inashindwa kuchukua hatua kwa mujibu wa sheria basi inatakiwa itolewe madarakani na siyo kwenda kuifuta ofisi ya CAG ambayo imetimiza majukumu yake kikamilifu.
 
Kusema ofisi ya CAG ifutwe, ni sawa na kusema turekebishe katiba... kwasababu CAG yupo kwa mujibu wa katiba...
Muanzage kufanya rejea kabla ya kuandika
 
Duuuh....
Kuna baadhi ya watu inabidi kuwafanyia operesheni ya kichwa kuangalia Kama humo ndani Kuna ubongo au mavi ya kuku kama huyu mtoa mada
 
Ni sawa na kusema tuondoe madaktari hospitali kwa sababu wanatuambia tunaumwa nini ila dawa hazitoshi au hakuna kabisa
Mtoa mada hajamaanisha sana kufungwa kwa hiyo ofisi alicholenga hapo ninini faida ya CAg ikiwa yale anayotuambia hayafanywi kazi kwa kuwawajibisha wahusika
Nini umuhimu wa ofisi ya CAg
 
Kutokana na mambo kadha wa kadha kufanywa na ofisi hii ikiwemo ukaguzi wa hesabu za serikali bila kuwepo udhibiti wa wizi kwenye ofisi zetu za umma, basi nilikuwa naonelea kufutwa kwa majukumu ya CAG na kuondolewa mara moja kitengo hicho serikali. Sababu kubwa ni kuwa ofisi hii imekuwa kama inatuambia Watanzania tunaibiwa ila hakuna hatua zozote zinazochukuliwa dhidi ya wahalifu hawa.

Mathalani wakati wa uwasilishaji wa ripoti ya CAG hivi karibuni jeshi la zimamoto lilishiriki kupitishia fedha ambazo si za umma kwenye akaunti zake hivyo kuleta taswira ya uhalifu wenye sura wa kutakatisha fedha. Licha ya taarifa zote za uhalifu na ubadirifu huu mpaka sasa hakuna mtu hata mmoja aliyekamatwa mbali ya baadhi yao kutajwa mpaka majina ama vyeo vyao akiwemo Mhasibu wa jeshi la zimamoto, afisa maduhuli wa TANAPA, wizara ya mali asili na utalii, Clouds media, TBC, wasafi media n.k. na wote wamepokea fedha haramu. Nchi ya kipumbavu sana hii.
Kwahiyo CAG ndiyo anajukumu la kuwakamata wahalifu katika nchi hii?

Mbona napata wasuwasi na uraia wako?
Unashindwa kujua nini kazi ya CAG?
 
Ni sawa na kusema tuondoe madaktari hospitali kwa sababu wanatuambia tunaumwa nini ila dawa hazitoshi au hakuna kabisa
Maamuzi kama haya yalipatikana awamu ya tano tu
 
Nini umuhimu wa daktari ikiwa anaweza kukuambia ugonjwa wako ila hutaweza kupata dawa?
Mtoa mada hajamaanisha sana kufungwa kwa hiyo ofisi alicholenga hapo ninini faida ya CAg ikiwa yale anayotuambia hayafanywi kazi kwa kuwawajibisha wahusika
Nini umuhimu wa ofisi ya CAg
 
Kutokana na mambo kadha wa kadha kufanywa na ofisi hii ikiwemo ukaguzi wa hesabu za serikali bila kuwepo udhibiti wa wizi kwenye ofisi zetu za umma, basi nilikuwa naonelea kufutwa kwa majukumu ya CAG na kuondolewa mara moja kitengo hicho serikali. Sababu kubwa ni kuwa ofisi hii imekuwa kama inatuambia Watanzania tunaibiwa ila hakuna hatua zozote zinazochukuliwa dhidi ya wahalifu hawa.

Mathalani wakati wa uwasilishaji wa ripoti ya CAG hivi karibuni jeshi la zimamoto lilishiriki kupitishia fedha ambazo si za umma kwenye akaunti zake hivyo kuleta taswira ya uhalifu wenye sura wa kutakatisha fedha. Licha ya taarifa zote za uhalifu na ubadirifu huu mpaka sasa hakuna mtu hata mmoja aliyekamatwa mbali ya baadhi yao kutajwa mpaka majina ama vyeo vyao akiwemo Mhasibu wa jeshi la zimamoto, afisa maduhuli wa TANAPA, wizara ya mali asili na utalii, Clouds media, TBC, wasafi media n.k. na wote wamepokea fedha haramu. Nchi ya kipumbavu sana hii.
Acha kutumia K-Vant.
 
Nyie genge hampendi kukaguliwa kwasababu mnajijua mmeoza kwa ufisadi. CAG kazi yake kukagua na kutoa mapendekezo ,kazi ambayo amekwisha kuifanya ,, hayo mengine wapo wa kuchukua hatua. CAG hana kosa.
Mlifurahi sana Assad alivyoondolewa mkajua mtamteua CAG wa kufunika madhambi yenu,, sawa alifunika lakini sasa ameyafunua.
Tulieni sindano iendelee kuingia,, tako bado lina nyama za kutosha hilo.
Bado ile int.airport ya kijijini[emoji3]

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Tueleze una kaa wapi na nakushauri hata ukitoka kwenda kwenye shughuli zako, acha mlango wazi.
Nipo hapa mwenge karibu na jengo la bodi ya mikopo Heslb
ww hata hujui kazi ya CAG. yeye anatoa recommendation after audit.
kama kuna watu wa kufukuzwa powa.. wa kubaki powa.
lakin its down to central goverment kufanyia laxi hayo mashauri au lah.
Sasa nini maana yake mkuu, yaani kila mwaka tuambiwe wizi huku hakuna jitihada za kchukua..
 
Ila inaboa, toka enzi za nyuma, ripoti za CAG ni kama zinakuja kuturingishia wanaokula keki ya taifa.

Hakujawahi kuwa na serious follow-ups kwa ambao wanakutwa na ufujaji.

Kuna umuhimu wa kujadili tufanyaje sisi wananchi maana tunao wapa dhamana ndo hawa hawa wanaotusaliti.
 
Back
Top Bottom