Ofisi ya CAG ifutiliwe mbali

Ofisi ya CAG ifutiliwe mbali

Kutokana na mambo kadha wa kadha kufanywa na ofisi hii ikiwemo ukaguzi wa hesabu za serikali bila kuwepo udhibiti wa wizi kwenye ofisi zetu za umma, basi nilikuwa naonelea kufutwa kwa majukumu ya CAG na kuondolewa mara moja kitengo hicho serikali. Sababu kubwa ni kuwa ofisi hii imekuwa kama inatuambia Watanzania tunaibiwa ila hakuna hatua zozote zinazochukuliwa dhidi ya wahalifu hawa.

Mathalani wakati wa uwasilishaji wa ripoti ya CAG hivi karibuni jeshi la zimamoto lilishiriki kupitishia fedha ambazo si za umma kwenye akaunti zake hivyo kuleta taswira ya uhalifu wenye sura wa kutakatisha fedha. Licha ya taarifa zote za uhalifu na ubadirifu huu mpaka sasa hakuna mtu hata mmoja aliyekamatwa mbali ya baadhi yao kutajwa mpaka majina ama vyeo vyao akiwemo Mhasibu wa jeshi la zimamoto, afisa maduhuli wa TANAPA, wizara ya mali asili na utalii, Clouds media, TBC, wasafi media n.k. na wote wamepokea fedha haramu. Nchi ya kipumbavu sana hii.
Umesahau kutaja location yako
Unateseka ukiwa sehemu gani mkuu?
 
Kuna haja ya kuitazama upya maana kwa siku za hivi karibuni imeanza kupoteza uelekeo wake kwa malengo ya awali yaliyowekwa toka ianzishwe baada ya kupata viongozi wanasiasa badala ya wataalam.
 
Nipo hapa mwenge karibu na jengo la bodi ya mikopo Heslb

Sasa nini maana yake mkuu, yaani kila mwaka tuambiwe wizi huku hakuna jitihada za kchukua..
sasa yeye ndio yuko responsible au serikali kuu?
unajua maana ya auditing?
wele wabunge wanafanya nn mjengoni? maana wao ndio wanakabidhiwa report wafanyie kazi mapendekezo.
 
Tueleze una kaa wapi na nakushauri hata ukitoka kwenda kwenye shughuli zako, acha mlango wazi.
Nipo hapa mwenge karibu na jengo la bodi ya mikopo Heslb
ww hata hujui kazi ya CAG. yeye anatoa recommendation after audit.
kama kuna watu wa kufukuzwa powa.. wa kubaki powa.
lakin its down to central goverment kufanyia laxi hayo

sasa yeye ndio yuko responsible au serikali kuu?
unajua maana ya auditing?
wele wabunge wanafanya nn mjengoni? maana wao ndio wanakabidhiwa report wafanyie kazi mapendekezo.
Umesoma kichwa cha habari tu wala siyo content. Watanzania hatujali.
 
Mtoa mada hajamaanisha sana kufungwa kwa hiyo ofisi alicholenga hapo ninini faida ya CAg ikiwa yale anayotuambia hayafanywi kazi kwa kuwawajibisha wahusika
Nini umuhimu wa ofisi ya CAg
sio kazi yake kufuatilia kwann hayafanyiwi kazi. ni kazi ya bunge na serikali kuu.
yeye anafanya auditing na kutoa recommendation
 
CAG ni kama mbwa asie na meno, anabweka kutisha wezi lakini wezi wameshamzoea wanaendelea kuiba tu ajabu na sisi tunashangaa tu tunavyozidi kuibiwa.
Sasa na bunge lingevunjwa "acquired stupidity" ndio msamiati aliuibua jana Assad, yaani nchi imejaa vihiyo' hivi wakati JPM anafanya matumizi nje ya budget bunge lilikuwa wapi? Au tuivunje Mahakama pia kwakuwa imeshindwa kutoa haki kwa muda mrefu?
 
Kutokana na mambo kadha wa kadha kufanywa na ofisi hii ikiwemo ukaguzi wa hesabu za serikali bila kuwepo udhibiti wa wizi kwenye ofisi zetu za umma, basi nilikuwa naonelea kufutwa kwa majukumu ya CAG na kuondolewa mara moja kitengo hicho serikali.

Sababu kubwa ni kuwa ofisi hii imekuwa kama inatuambia Watanzania tunaibiwa ila hakuna hatua zozote zinazochukuliwa dhidi ya wahalifu hawa.

Mathalani wakati wa uwasilishaji wa ripoti ya CAG hivi karibuni jeshi la zimamoto lilishiriki kupitishia fedha ambazo si za umma kwenye akaunti zake hivyo kuleta taswira ya uhalifu wenye sura wa kutakatisha fedha.

Licha ya taarifa zote za uhalifu na ubadirifu huu mpaka sasa hakuna mtu hata mmoja aliyekamatwa mbali ya baadhi yao kutajwa mpaka majina ama vyeo vyao akiwemo Mhasibu wa jeshi la zimamoto, afisa maduhuli wa TANAPA, wizara ya mali asili na utalii, Clouds Media, TBC, wasafi media n.k. na wote wamepokea fedha haramu. Nchi ya kipumbavu sana hii.
Wapumbavu mpo Wengi sana Hujui Umuhimu wa CAG
 
Watu hamjaelewa Uzi unataka nini. Aibu sana kama watanzania hatujui majukumu ya ofisi ya CAG na nini serikali inapaswa kufanya baada ya ripoti hiyo tofauti na hapo hakuna haja ya kuwa nayo.
 
Kutokana na mambo kadha wa kadha kufanywa na ofisi hii ikiwemo ukaguzi wa hesabu za serikali bila kuwepo udhibiti wa wizi kwenye ofisi zetu za umma, basi nilikuwa naonelea kufutwa kwa majukumu ya CAG na kuondolewa mara moja kitengo hicho serikali.

Sababu kubwa ni kuwa ofisi hii imekuwa kama inatuambia Watanzania tunaibiwa ila hakuna hatua zozote zinazochukuliwa dhidi ya wahalifu hawa.

Mathalani wakati wa uwasilishaji wa ripoti ya CAG hivi karibuni jeshi la zimamoto lilishiriki kupitishia fedha ambazo si za umma kwenye akaunti zake hivyo kuleta taswira ya uhalifu wenye sura wa kutakatisha fedha.

Licha ya taarifa zote za uhalifu na ubadirifu huu mpaka sasa hakuna mtu hata mmoja aliyekamatwa mbali ya baadhi yao kutajwa mpaka majina ama vyeo vyao akiwemo Mhasibu wa jeshi la zimamoto, afisa maduhuli wa TANAPA, wizara ya mali asili na utalii, Clouds Media, TBC, wasafi media n.k. na wote wamepokea fedha haramu. Nchi ya kipumbavu sana hii.
Elimu elimu elimu,vipaumbele vya Lowasa
 
Mtu mwovu na mwenye kiburi huwa anajiona yupo salama sana, kuna mwingine nimesikia anatishia watu kule twitter, ila arobaini zao huwa zinafika bila wao kutarajia, CAG aendelee kuanika madudu atuachie sisi wananzengo tutajua nini cha kufanya....
 
Back
Top Bottom