Well said! Ofisi yetu, nijapofanya kazi mimi mpaka mwaka wa fedha unaisha, tulikuwa tumetumia asilimia 34.5% ya bajeti ya ofisi ambayo ilikuwa Tzs.42 Million hivi.Ni ofisi ipi katika serikali yetu iliwahi kupata 100% ya initial budget? Labda ofisi ya raisi pekee, the rest ni 10-60% kutegemeana na umuhimu wake.
umeona wanakiri wenyewe.....tuna pata habari za ndani penda msipende....hii nchi sio ya mkwere tu.well said! Ofisi yetu, nijapofanya kazi mimi mpaka mwaka wa fedha unaisha, tulikuwa tumetumia asilimia 34.5% ya bajeti ya ofisi ambayo ilikuwa tzs.42 million hivi.
Serikalo ya ccm imechoka kikweli kweli mpaka aibu, fedha zipo mikononi mwa mafisadi kama akina change na wenzao.
naona kinyesi tu hapo nilipo weka red. hivi kama sio Kikwete na ccm yake huo uwazi wa CAG ungeufahamu?Serikali imeaza kuichezea ofisi ya audit general kwa kutoa fedha kiduchu kwa mradi wa kazi ya ukaguzi wa ofisi hii muhimu kuliko ofisi yoyote katika nchi hii.
Katika kipindi cha mwaka 2014 - 2015 ofisi hii imepata 60% tu ya budget yake.Tabia hii inatokea baada ya aliyekuwa Auditor General kustaafu ndg.Utouh.
Wafuatiliaji wanasema hii ni hatari sana kwani inaonekana AG ananyimwa fedha ili asiende field kwani ofisi hii ipo kwa mujibu wa sheria na ni hatari kwa usalama wa nchi endapo ofisi hii ambayo ndio macho ya bunge letu kutokuwa na fedha.
Serikali hii ya CCM wanatumia kila njia kunyamazisha vyombo vinakuza uwajibikaji na uwazi kwenye nchi maana kwao TUNU hizo ni gonjwa hatari la ebola.
Well said! Ofisi yetu, nijapofanya kazi mimi mpaka mwaka wa fedha unaisha, tulikuwa tumetumia asilimia 34.5% ya bajeti ya ofisi ambayo ilikuwa Tzs.42 Million hivi.
Serikalo ya CCM imechoka kikweli kweli mpaka aibu, fedha zipo mikononi mwa mafisadi kama akina Change na wenzao.
Unajiuliza mwenyewe kisha unajijibu mwenyewe.Ni ofisi ipi katika serikali yetu iliwahi kupata 100% ya initial budget? Labda ofisi ya raisi pekee, the rest ni 10-60% kutegemeana na umuhimu wake.
Recurrent mkuu, ofisi yetu inapewa budget ya Recurrent tu.Napata wasiwasi ofisi gani iyo ambayo imepokea mil 42 mwaka mzima,kwa maana iyo approved budget yenu haizidi mil 150,hii ni buget ya ofisi au ?mmmh sasa mkuu hii ni recurrent au dev?
Unajiuliza mwenyewe kisha unajijibu mwenyewe.
Hapo wanafanya uhuni...
basi hii serikali itakuwa ya basha wako....kinyesi sawa but ukweli mchungu kwani hii serikali ya mama yako au baba yako au ya ukoo wenu? Sema si ya ccm?.