Ofisi usipoipenda, unafanyaje?

Kwani unafanya kazi Bure?, kwanini na wewe usinunue?, kwanini upende vya kupewa?, kwanini ukaribishwe?, kwanini unaanza kuwa na roho ya wivu Kwa vitu vidogo?, kwanini umeendekeza uroho?, kwanini huridhiki?, kwanini unatamani vya watu viwe vyako?, kwanini usiache kazi Ili ule hizo bites ukiwa peke yako?, kwanini huna adabu?, Kwanini lakini....
 
Wewe inaonekana ukipata Boda boda tu wa kukuwekea bili ya elfu tatu t7 kwa siku tayari unakuwa single maza soon.
 
Si ununue vya kwako. Hata mimi nisingekupa.
 
Na wewe si ununue vyako makasiriko ya nini 😁😁
 
Kazi umepataje kwa uandishi huu?
 
kweli bongo nyoso tena balaa,
unaeza zaliwa mzungu ila ndo ivo mzungu kichaa. yani unamind mambo madogo namna hiyo!!? fanya kazi kwa bidii uringe na chako, chamtu nnya.
 
Kama hii ndio sababu yako basi wewe utakuwa mchawi baada ya muda.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…