political Engineer 2
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 296
- 794
Nipo Dar es salaam,utafiti Mdogo niliofanya nimeenda pale posta Kuna Hawa property management consulting companies ndiyo wanafanya hivyo,lakini ukienda pale pesa Yao ni nyingi mno,na wanakupa chumba chako peke yako.mimi nafanya pool, yaani ofisi moja mnakaa kama watatu lakini kila mtu na meza na kabati lake,na bei itawalenga vijana wasio na mtaji mkubwa, Hawa construction company wanahitaji ofisi kubwa hizo sitaaford Kwa Sasa. Lawyers hao sawa maana hawahitaji space kubwa.Mbona wano fanya hiyo biashara wapi tayar na changamoto wanaiyona aisee. Labda nikupe ushauri kidogo. Em fanya kwanza research ya walio kwenye Raman wanafanyaje fanyaje ilinuweze kupata ubunifu wa kuboresha zaidi au uweke mazingira ya Kodi Kila mtu aweze ku afford ndo utapata wateja.
Sjajua mkoa uliopo ila kwa dar na Arusha kwa Arusha wamefanikiwa sana coz Hawa mawakili ndo wengi Wana panga kwao pamoja na contractor company nyingi hua n za kuhama hama so huafanya biashara na watu Hawa.
Kulingana na mkoa na eneo uliopo unaweza toboa Mzee. Go go go[emoji91]
Asante sanaGood idea sana mzee
Sawa hapa utatoboa. Start activation bila hivyo uta ghairi Mzee.Nipo Dar es salaam,utafiti Mdogo niliofanya nimeenda pale posta Kuna Hawa property management consulting companies ndiyo wanafanya hivyo,lakini ukienda pale pesa Yao ni nyingi mno,na wanakupa chumba chako peke yako.mimi nafanya pool, yaani ofisi moja mnakaa kama watatu lakini kila mtu na meza na kabati lake,na bei itawalenga vijana wasio na mtaji mkubwa, Hawa construction company wanahitaji ofisi kubwa hizo sitaaford Kwa Sasa. Lawyers hao sawa maana hawahitaji space kubwa.
Na pia hizi NGO ndogo ndogo pamoja na microfinance utawapata. Kila la kheriNipo Dar es salaam,utafiti Mdogo niliofanya nimeenda pale posta Kuna Hawa property management consulting companies ndiyo wanafanya hivyo,lakini ukienda pale pesa Yao ni nyingi mno,na wanakupa chumba chako peke yako.mimi nafanya pool, yaani ofisi moja mnakaa kama watatu lakini kila mtu na meza na kabati lake,na bei itawalenga vijana wasio na mtaji mkubwa, Hawa construction company wanahitaji ofisi kubwa hizo sitaaford Kwa Sasa. Lawyers hao sawa maana hawahitaji space kubwa.
Asante mkuuSawa hapa utatoboa. Start activation bila hivyo uta ghairi Mzee.
Asante sana mkuuNa pia hizi NGO ndogo ndogo pamoja na microfinance utawapata. Kila la kheri
Weka namba ya simukwa Huduma
- kufanya makadirio ya Kodi
- Kuandaa Hesabu za Kampuni
- kusajilri kampuni (zote)
- Kupata cheti cha uwekezaji Tanzania