Tuanzie hapo kwanzaUthibitisho uko wapi kuwa JPM analipwa mil 10?
Drama hizi.Mara ooh kuna mtu analipwa M7 Kwa dakika!!!
CCM bwanaaaaa!
Ndiyo hivo mkuu.Yani jamii ya kitanzania ni ya ajabu sn,hakika tuna Safar ndefu.Yaani Watanzania tushaonekana wajingawajinga kwahiyo wanatuletea sinema kila siku kusogeza siku mbele huku wanaendelea kutupiga.
Yaani kuwaongoza Watanzania rahisi sana.
kwa huyu jamaa Wa 97mil, maana yake kila (a) Sekunde 112.26Tsh (b) 6736.11Tsh kila dk (c). saa 404,166.6Tsh (4k) (d) day 3,233,333.33Tsh (Massa ya kazi (3mil) (e) week 22,633,333.33Tsh (f) monthly 97,000,000 Tsh.Drama hizi.Mara ooh kuna mtu analipwa M7 Kwa dakika!!!
CCM bwanaaaaa!