Nimeeleza uwiano wa mapokeo ya kuachana kati ya mwanaume na mwanamke, sijatoa mchango au kuegemea upande wowote....ingekua hivyo hapo ndiyo comment yako ingejenga hojaHilo ndio jibu lake au wewe ndio hujaelewa?
Pole sana lakini usiitukane ndoa, mtusi uliekua nae kwenye ndoa. Huyo ndo tatizo.Nimepitia mazito ndugu ukitaka kujua ni usen*** fuatilia idadi za talaka kwa Dar tu
Kwanini wanajuta??Mkiachana mwanaume mara ya kwanza hufurahi ila baada ya muda hujuta and vice versa is true.....alisikika mlevi mmoja akikatiza kwenye maji
Nadhani ni mambo ya hisia, si unaona mleta uzi alivyofurahia ila ke hapo lazima analia huko na baada ya muda me atalia ke atafurahiaKwanini wanajuta??
Hapana mkuu sijachukulia personal maana sijawahi pitia hiyo situation, no mawazo tu....inaweza isiwe kweli pia kwa wengineHilo jibu limekaa katikati mbona labda unachukulia personal queen kan
Utakua ulioa kwa kurupukaHiv vibint vya siku hizi vinataka sherehe ya Harusi ila sio Ndoa
Sasa ulitaka mtu aoe kituko aoe demu kama sanamu la michelin lazima uoe mtu ambaye unaweza hata kumpost moyo ufurahie mkishindwana mnaachana kama hivUtakua ulioa kwa kurupuka
Tako
Mimba
Uzuri
Vinekuzuzua na ushamba wako...
Umekutana na visivyoeleweka huko
Kwahiyo inabidi uoe kwa kuangalia nini hasa na kipi kiwe added advantage??Utakua ulioa kwa kurupuka
Tako
Mimba
Uzuri
Vinekuzuzua na ushamba wako...
Umekutana na visivyoeleweka huko
Ndoa yake ndo ilikuwa ya kisengerema..!!Hongera sana kwa kutimiza haja ya moyo wako hahaha lakini ndoa sio us@nge
Au unataka kutuambia ni wewe ndio ulikua😆😆😆😆😆😆
Kwa kuachana hivi maana yake ulioa kituko au wewe mwenyewe ndo kitukoSasa ulitaka mtu aoe kituko aoe demu kama sanamu la michelin lazima uoe mtu ambaye unaweza hata kumpost moyo ufurahie mkishindwana mnaachana kama hiv
Sahihi kabisaNdoa yako ww. Furahia maisha bila kutaka mwingine afurahie kwa namna unavyofurahia. Kila mtu apambane na bakuli lake la maisha alilopewa na MUNGU hapa duniani kwa namna inayompendeza.
Code za kisengerema hapana, baki nazoUkiona ndoa ina tatizo ujue demu alikuwa pini nakupa code mzee
The power of fake ID..!! Nilifunga ndoa kanisani July 2002..!!! Na bado nipo naye..!! Usikute wewe ni mwanangu wa pili..Kwanza umeoa kijana au unabishana tu
Muda utaongeaHahahahahaha sitamani tena