hivi sasa unaweza watch emmanuel tv kwa simu yako ya android kwa kutumia application yao inayopatikana ktk google play apps. unaweza kuproove hilo
mi nasubiri kiongoz wa nchi jirani na Kenya kutekwa
Tunasubiria kwa hamu..
sijui nani maana museveni ana ulinzi mkubwa balah. Na Kagame ni kamanda na watu wake ni watihifu sana pia wanaogopa kurudi kwenye mauaji ya kimbari.
Tanzania sijui ulinzi ukoje?
pia mzee wa upako alisema atekwi mtu hapa wala hakuna cha mlipuko. Sasa sijui mungu wa TB Joshua na mzee wa upako aka transfoma ni tofauti.
hivi wewe ni mtanzania?
kwani vip mkuu mbona unauliza ilo swali?
kweli mtanzania ajifichi...swali juu ya swali hapo
Anaendelea kuirahisisha kazi yake ya kuchawi.
Ata kama asinge kuwa mtanzania.sasa watu wanatamani kujiunga na kuanzisha vikundi vya kigaidi au ukusikia CD za mtwala.watu wanaoipenda hii nchi wameshaanza mazoezi wamechoka na mafisadihivi wewe ni mtanzania?
kwani vip mkuu mbona unauliza ilo swali?