wakuu,
naona shimo limetema. sasa bbm inapatikana kwa android, naskia kwenye play store wameshaiweka(non-samsung android phones), ila mimi nimeipata kwa kufungua native browser nakuandika: BBM Share then utapata link za kudownload. au pia unaweza ukaipata kwenye samsung apps
Hapana mkuu chesco Matunda, jana jamaa wangu ana s3 amedownload fresh na inapiga mzigo fresh, nkikaa poa ntarusha screen shots, mi natumia bb so nachat nae hapa!
Hapana mkuu chesco Matunda, jana jamaa wangu ana s3 amedownload fresh na inapiga mzigo fresh, nkikaa poa ntarusha screen shots, mi natumia bb so nachat nae hapa!
Ile link ulioweka pale juu nimesha pakua tatizo inasema network yangu haija connect sijui why? Kuhusu hiyo nilosema hamna kitu Angalia niliemnukuu inaonyesha tofauti naulioweka wewe.