misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 17,046
- 13,171
Umehisi nini hadi umesema hivi mkuu?Si utafute hata mdogo wako umpatie iyo kazi
Umehisi nini hadi umesema hivi mkuu?Si utafute hata mdogo wako umpatie iyo kazi
Mambo mengine ni kupotezea tu kama hujaona mkuu ili siku ipite, kuna watu waajabu kwelikweli.kumbe kazi wanatafutiana ndugu tu, na wote wanaopost humu hawana ndugu, na wanaoomba kazi wote ndugu zao hawajawatafutia kazi. Anyways kama itatokea mtu yupo interested anakaribishwa.
ila umezingua mzee kufunga account yako asa mtu atakupataje??Asanteni kwa wote mliojitokeza kuomba nafasi hii. Leo tumechukua watu 7 wa kwanza waliokuja PM na wamefanyiwa interview. Kwa sasa namsikiliza boss mwenyewe atasemaje kama bado niendelee kuleta wengine au vp, then ntawajulisha.
ikitokea nafasi ya Qs nistue mkuu tulisogeze taifaNafasi zipo na nyingine zinakuja nitatangaza kadri watu watakavyohitajika. Usiogope kuomba sio wote ni matapeli, na wala huitaji kulipia kitu chochote kuja kufanyiwa interview. Asanteni.