Office assistant/messenger anahitajika

Office assistant/messenger anahitajika

sipinah

Member
Joined
May 26, 2016
Posts
14
Reaction score
52
Habari zenu. Tunahitaji office assistant katika ofisi ya kampuni ya ujenzi ya wachina iliyopo dar, kairuki street. Umri kuanzia 20-26, me/ke, awe anajua kutumia computer na kazi ndogondogo kama kutoa copy, kuprint, kuscan, binding etc. Awe anajua kuzungumza na kiingereza kidogo au sana kwa sababu wachina hawajui Kiswahili vizuri. Kazi yake itakuwa kutunza files za ofisi, kupeleka barua kwenye ofisi za jirani hapahapa mjini kwa usafiri wa kampuni, n.k
Kama upo tayari plz njoo dm kwa maelezo zaidi.
Deadline 1/6/2018 saa 8 mchana, Ijumaa.
 
Si utafute hata mdogo wako umpatie iyo kazi
 
Kuna members wengine ni guest hawana account za jf wasaoma tu juu juu hiyo pm wataipataje???
 
pole jaribu kuomba maelezo jinsi ya kuingia pm. nashindwa kuweka namba ya simu hapa
 
Nafaham ila nasemea ambao wanahitaj kuomba hiyo nafas na hawana acc za jf, kwa nn usiweke hata email kama unashindwa kuweka nmba ya sim
 
Nimekuelewa. Lakini nafasi ni moja tu na sidhani kama itahitaji watu zaidi ya 100 kuomba. Natarajia katika watu 5-10 watakaoanza kuomba, mmoja atapata. Nikiweka email wataomba watu wengi zaidi ya unavyofikiria, na kiukweli hamna mtu atakaechambua hizo email zote. Asante
 
Haya all the best
 
Habari zenu. Tunahitaji office assistant katika ofisi ya kampuni ya ujenzi ya wachina iliyopo dar, kairuki street. Umri kuanzia 20-26, me/ke, awe anajua kutumia computer na kazi ndogondogo kama kutoa copy, kuprint, kuscan, binding etc. Awe anajua kuzungumza na kiingereza kidogo au sana kwa sababu wachina hawajui Kiswahili vizuri. Kazi yake itakuwa kutunza files za ofisi, kupeleka barua kwenye ofisi za jirani hapahapa mjini kwa usafiri wa kampuni, n.k
Kama upo tayari plz njoo dm kwa maelezo zaidi.
Deadline 1/6/2018 saa 8 mchana, Ijumaa.
ok
 
Nimeku PM tayari.Tafadhali angalia
 
Asanteni kwa wote mliojitokeza kuomba nafasi hii. Leo tumechukua watu 7 wa kwanza waliokuja PM na wamefanyiwa interview. Kwa sasa namsikiliza boss mwenyewe atasemaje kama bado niendelee kuleta wengine au vp, then ntawajulisha.
 
Nafasi zipo na nyingine zinakuja nitatangaza kadri watu watakavyohitajika. Usiogope kuomba sio wote ni matapeli, na wala huitaji kulipia kitu chochote kuja kufanyiwa interview. Asanteni.
ubarikiwe
 
Okey poa! Hongera kwa kuwapatia nafasi kama mmoja wao atapata chance
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom