eliasy
JF-Expert Member
- Nov 9, 2012
- 455
- 54
Inawezekana kabisa
Ngoja niku pm ili nijue gharama yake!
Inawezekana kabisa
Gharama inategemea na vile unavyotaka ikufanyie unaweza kuniandikia Maelezo kwenye email ili nifanye costing
Software designingContent haieleweki hii ni kufundisha au unauza softwares?
Nipo mzee nipigie tu kwa namba 0687 535650Sasa mkuu mbona nimekupigia sikupati? Je unatengeneza website wakati wewe umesahau kujitengenezea ?
Haturuhusiwi kuweka link hapa ukihitaji kazi zetu njo pm mkuuNikawaida ya madesigner wengi wa website hufanya za watu tu sababu hupata pesa ila zao mmh hawatime nazo.