Offer ya website, Database and system Designing

Offer ya website, Database and system Designing

Wadau napenda kuwatangazia kuwa Sasa bei zetu ni karibu na bure kabisa, na hii ni kwa ajili ya msimamu huu wa sikuu.Huduma zetu ni kama ifuatavyo
1. Website designing
2.Forums and Ecommerce systems 3.HR and Hospital Management system
4.Customer and user Databases
5.Bulk SMS system with IPA integration
6 . domain Registration and Hosting.
7.Applications with free playstore publication.
8.Responsive blog + free Domain integration
Namengine mengi, Kwa mawasiliano tucheki 0687535650
Kontakti peji ina mapungufu mzee; nimekimbilia Contact Us nikupigie simu nakutana na form!! sisemi usiweke form lakini contacts page inatakiwa ikidhi mahitaji tofauti; simu, email ambayo umeweka; lifax kama lipo; google map yaani manjia yote
On serious note: ongeza mobile na google map.
 
(pawahost & jamiisoft);
Should rework on these: remain with only one
 
Kwenye portfolio;
Pamoja na kwamba kuna link ya kuvisit lakini inapendeza kama picha husika yote ikawa link; jaribu kutembelea portfolio kadhaa za IT Sites, even though this is just a design issue, its not that much necessary;
 
Live Chat iondoe au ifanye ifanye kazi;
Zile bendera najua wajua maana yake; ziondoe au make them work
Vivyo hivyo kwa hizo icons za facebook, twitter, etc...
 
Live Chat iondoe au ifanye ifanye kazi;
Zile bendera najua wajua maana yake; ziondoe au make them work
Vivyo hivyo kwa hizo icons za facebook, twitter, etc...
Poa mkuu nimekuelewa, thanks for your contribution
 
Kontakti peji ina mapungufu mzee; nimekimbilia Contact Us nikupigie simu nakutana na form!! sisemi usiweke form lakini contacts page inatakiwa ikidhi mahitaji tofauti; simu, email ambayo umeweka; lifax kama lipo; google map yaani manjia yote
On serious note: ongeza mobile na google map.
Thanx
 
Kwenye site yako fanyia kazi payment mzee; button ya purchase umeiweka kufurahisha umma tu, haifanyi kazi, halafu kwa mazingira ya tanzania; matigopesa na mampesa ndio manjia ya malipo kwa wengi mzee; hayo makadi uliyoyaweka chini yatoe au fanya yafanye kazi.
Yes mkuu Kwa makampuni ya kifedha ya hapa bongo ni ngumu Sana kukupa access ya online payment(yaani online money transactions) ndo maana watu wanalia sana na PayPal, kwasababu inakuruhusu kulipa online ila uruhusiwi kulipwa online.
 
Wadau napenda kuwatangazia kuwa Sasa bei zetu ni karibu na bure kabisa, na hii ni kwa ajili ya msimamu huu wa sikuu.Huduma zetu ni kama ifuatavyo
1. Website designing
2.Forums and Ecommerce systems 3.HR and Hospital Management system
4.Customer and user Databases
5.Bulk SMS system with IPA integration
6 . domain Registration and Hosting.
7.Applications with free playstore publication.
8.Responsive blog + free Domain integration
Namengine mengi, Kwa mawasiliano tucheki 0687535650
APP Bei gani?
 
Nahitaji database kwa ajili ya duka. Itakuwa ni being gani?
 
Naomba nieleze vizuri unataka software ikufanyie nini? Nipe Maelezo kidogo mkuu

Nahitaji iwe inanionyesha mauzo ya siku. Faida na manuni? Nikinunua mzigo niweze ku add items nilizonunua. Inionyeshe kiasi kilichotoka na kiasi kilichobaki
 
Nahitaji iwe inanionyesha mauzo ya siku. Faida na manuni? Nikinunua mzigo niweze ku add items nilizonunua. Inionyeshe kiasi kilichotoka na kiasi kilichobaki
Inawezekana kabisa
 
Back
Top Bottom