Kwa wajasiriamali wa Electronics & mobile Accessories - Karibuni Bicmark Trading Moshi wholesaler

regnaldshirima

Senior Member
Aug 18, 2014
124
78
Naitwa Brown Shirima

mwajiriwa katika Kampuni ya Bicmark Trading,iliyopo Moshi Mjini Mkoani Kilimanjaro.

Leo ningependa Kufanya Markerting Huu Wa Bidhaa zetu Hasa kwa WaJasiriamali na Wanajamiiforums kwa bei ya jumla pekee.
Kwanza Kabisa ni vizuri Duka letu likafahamika wapi lilipo, Duka lipo Moshi Mjini Mtaa wa Kawawa ama Kiusa tunatazamana na Harsho wauzajia wa vyakula vya mifugo,

Ni vipi unaweza Kufika?

Unapotokea Stend Kubwa ya mabasi Moshi,unaweza fuata benki ya NMB Tawi la Mandela kisha ukapanda na barabara ya kwenda arusha au ulizia MDC ,ukifika MDC kata Kushoto kama unaelekea soko la Juu.kwa mbele kushoto utaona bango kubwa limeandikwa Brema Limited kwambele ni harsho office accessories,jengo linalofuta ni harsho Feeds tazama kulia utaona Kitamba kikubwa Kikiwa Kimeandikwa Tunauza Memory Cards kwa maandish makubwa nje pana fanitures hapo ndipo tulipo bicmark trading (bicmarkshop)

ama unaweza Wasiliana nami 0758489123 muda wote nitakua Dukani,au mkurugenzi 0766669339 mr kweka. ukaelekezwa sahihi ama kufuatwa ulipo.kwetu sisi mteja ni mfalme.



Tuna Jishughulisha na nini hasa?
Bicmark Trading Ni wauzaji wa bidhaa mbalimbali za electronics kama vile vifaa vya simu,simu,tv,camera,flash disk,memory cards,card reader,sub-woofer,dvd home thearts system,housing za simu,chargers,amplefire,wall clocks,funitures,computer accessories,batteries za simu,cable za tv,data,nk, na bidhaa nyingi sana kwa bei ya jumla na reja reja pia ni waagizaji wa bidhaa kwa bei nafuu mfano unahitaji bidhaa aina fulani nasi hatuna na katika maduka mengine hakuna bicmark tradding itakuagizia bidhaa hiyo na ndani ya siku 3-5 kuipata bidhaa hiyo.



Bei ya Bidhaa zetu ziko Vipi?
Bei ya bidhaa sio fixed,hubadilika kulingana na soko na upatikanaji wa bidhaa zenyewe mfano kama bidhaa imeshuka bei katika masoko makubwa nasi huishusha bei bidhaa hiyo,mfano umeorder bidhaa saa 1 asubui na ghama yake ni 5000 ,mteja akafika sa 2 kulipia bidhaa yake wakati bei mpya katika soko ni 4000. resit ya awali itafutwa na kompyuta na kutolewa mpya yenye punguzo la 1000.


Kwa Wajasirimali wa Mikoani na Bicmark Trading.

Bicmark Trading Tunatoa pia Huduma ya kusafirisha Bidhaa kwa Mteja kutegemea na njia Aliotaka itumike.baadhi ya njia Mara nyingi tunazotumia kuna Mabasi ya Mikoani(makampuni ya mabasi),Pcum & EMS (Shirika La posta Tanzania) na bicmark Trading Itafanya Malipo Yote ya usafirishaji wa bidhaa,packing na Kusimamia mpaka uatapo pokea mzigo wako.


Mteja Atapataje Bidhaa yake?
Baada ya Taratibu zote Kukamilika katika Kusafirisha bidhaa ikiwa imefungwa sild pekee,mteja atapewa Maelekezo jinsi atavyo upata Mzigo wake na wapi Atapo uchukulia kulingana na njia ya ushafirishaji iliyo tumika/

!)MABASI YA MIKOANI.
Mteja atapewa Jina La Basi,Kampuni yake na Resit ya Kifurushi,muda utakao wasili ndani ya siku moja,
na sehemu/kituo/ofice atakayo pokelea na mawasiliano ya msafirishaji.
!!)Pcum & EMS (posta tanzania)
Mteja Atapewa Tracking Number,
I wapo Mjasiriamali atatuo ANuani ya Sehemu Alipo Mfano Dar es salam,Mikocheni,plot 605c. Pcum & EMS city Agent Atauleta Mzigo Mpaka katika Sehemu hiyo,kuwasiliana nawe utacho takiwa kuwa na cho ni kitambulisho na kusaini kupokea Bidhaa hatua inayofuata ni Mteja kukagua bidhaa kulingana na Packing List iliyoko ndani ya kifurushi.

Je Bidhaa Ntakayo Agiza isipokua Sahihi nifanyeje?
Bicmark Trading Inatoa Garanty kwa Bidhaa Zake Zote Pindi Imfikiapo Mteja,na pia Tunazingatia ORDER ya Mteja Aliyotuma. ORDER haita Sanikishwa pasipo Bicmark Trading Kuwasiliana na Mwagizaji,Pia Kutoa Elimu kwa Mwagizaji kuhusu bidhaa aliyo agiza. mfano. Mteja aliagiza Simu ya Galaxy s 3 iliyokua ukiuzwa laki 3,lakini Katika Bicmark Trading zipo pia Galaxy s4 inayo uzwa laki 3 na elfu ishirini, bicmark Trading watamwelezea Sifa na Tofauti kati ya Galaxy s3 na s4 mteja na kufanya uamuzi kati ya hizo Mbili,kisha Kuisafirisha kwenda kwa mteja.


Kuhusu Warant?
Bicmark Trading Inasimamia WARRANT ya Bidhaa zote inazoziuza Katika Maduka yake,mteja Hatalazimika kuhangaika wapi aende. mjeta atatakiwa kuituma kwa Bicmark Trading.na kufanyiwa Taratibu za kuifikisha kwa Mzalishaji wa Bidhaa hiyo.

Zitazame Bei ya Bidhaa Hizi Wiki Hii Katika Maduka Ya Bicmark Trading
memory card 128mb tsh 2,950/-
memory card 1gb tsh 5,600/-
memory card 2gb tsh 5,900/-
memory card 4gb tsh 7,000/-
memory card 8gb tsh 8,300/-
memory card 16GB tsh 22,000/-

Transcend Flash 2GB tsh 9,500/-
Transcend flash 4gb tsh 12,500/-
Transcend Flash 8GB tsh 13,500/-
transcend flash 16gb tsh 18,000/-
trancends flash 32gb tsh 37,000/-




card readers tflash tsh 950/-
housings all nokia from tsh 700/-
all solar charger from tsh 1700/=
all mobile charger from tsh 900/-
all original charger from tsh 4,500/-
all earphones chines FROM tsh 1000/-
all beatsby dr dree from 1600/-
all streetby 50cent FROM 3000/=

TV LG 2014 32 inch led tsh 590,000/-
tv sony led 32 inch led tsh 585,000/-
tv sony led 24 inch tsh 380,000/-

sony dvd home theart system 1000w HDMI from 300,000/-(price depends from feature not shape).

HDMI cables from 1.5m upto 500m (price separate by Pixel (ex 360i,720i,1080i))


all av cables,tv selectors,av connector


Cables

VGA to AV from tsh 5,000/-
VGA to HDMI from tsh 6,500/-
HDMI to AV From tsh 6,000/-


laptops power cords
radio power cords
computer power cords


all smartphone chargers


Mobile Phones Wholesales available

visit to our store at moshi
 
Back
Top Bottom