Offer offer!!! Jipatie huduma ya ZUKU na vifaa vyake

twaleeb

JF-Expert Member
Oct 13, 2016
231
83
*#ZUKU [HASHTAG]#ZUKU[/HASHTAG] #ZUKU*
inakuja na Offer hii

Tsh 88,000/= Kununua Badala ya Tsh 95,000/=

Hii unapata Vifaa vyote ( Dish,Decoder,Lnb na Cable )

Ndani yake unapata kifurshi cha Smart Pack kwa miezi mitatu buree!!

Hii ni bila ya Ufundi!
Ufundi ni Tsh 30,000/=

Jumla inakuwa ni Tsh 118,000/=

Ukiachilia OFFER hii kwa wateja wapya pia kuna punguzo la bei kwa Vifurushi karibu vyote ili kuendana na mfuko wako na ili kujua Vifurushi vilivyopo na bei mpya!
Bofya Hapa

Kwa Maelezo zaidi [HASHTAG]#0622001223[/HASHTAG] Muda 09:00 - 18:00 Kila siku.
 
Unamwambia mtu unapata smart pack sasa unategemea atavutiwa na hilo jina bila kumtajia channel zilizo kwenye hicho kifurushi

Ninadhani tangazo lako linalenga kupata wateja wapya sasa mteja mpya hawezi kujua hiyo smart pack ina kitu gani ili avuiwe taja channel zilizomo
 
Local channel na za nje pia
 
Tunatoa Offer ya ufundi wa Aircondition (AC) iwe ya gari au ya kawaida ufundi bure kwa watu 10 wamwanzo wanaofwata 10 watachangia 20,000/= watakaofuata 30,000/=

Kwa mawasiliano zaidi 0622001223

N.B

Offer hii ni kwa watu 30 tu

NYOTE MNAKARIBISHWA
 
Akuna kingamuzi kina mapungufu kama zuku msipojiirekebisha mtakosa wateja hapa bongo.yaani chanel za mpira ziko 2 nawenyewe sijui mpira wa mataifa gan.na mengi ni marudio.maigizo yakibongo yamepitwa na wakati na mengi yanajirudia
 
*#ZUKU [HASHTAG]#ZUKU[/HASHTAG] #ZUKU*
inakuja na Offer hii

Tsh 88,000/= Kununua Badala ya Tsh 95,000/=

Hii unapata Vifaa vyote ( Dish,Decoder,Lnb na Cable )

Ndani yake unapata kifurshi cha Smart Pack kwa miezi mitatu buree!!

Hii ni bila ya Ufundi!
Ufundi ni Tsh 30,000/=

Jumla inakuwa ni Tsh 118,000/=

Ukiachilia OFFER hii kwa wateja wapya pia kuna punguzo la bei kwa Vifurushi karibu vyote ili kuendana na mfuko wako na ili kujua Vifurushi vilivyopo na bei mpya!
Bofya Hapa

Kwa Maelezo zaidi [HASHTAG]#0622001223[/HASHTAG] Muda 09:00 - 18:00 Kila siku.
Asante. Naomba kujua bei ya virushi kwa mwezi na aina na chanels zilizomo, au kama una link ambayo naweza kuvipata itakuwa vizuri zaidi
 
Bei hizi hapa
 
Attachments

  • IMG-20170616-WA0023.jpg
    IMG-20170616-WA0023.jpg
    59.5 KB · Views: 113
Back
Top Bottom