Offer: Nokia smartphone kwa bei nafuu mno

Offer: Nokia smartphone kwa bei nafuu mno

ELAFU

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
410
Reaction score
151
Natoa offer ya simu yangu ambayo ni smartphone NOKIA 310. inasupport applications chungu nzima, na ipo katika hali nzuri na haina ubovu wowote. Bei ni 90,000/= tu, nina hitaji la haraka la pesa.
0768932789
0659528724
 
Mkuu hiyo simu mbona ina uwezo mdogo sana kwa hiyo bei

Hiyo kama unakubali nikupe 30,000/
 
Mkuu hiyo simu mbona ina uwezo mdogo sana kwa hiyo bei

Hiyo kama unakubali nikupe 30,000/

Acha uongo ndugu yangu. Simu ni nzuri na ina uwezo mzuri tu. Kupita kimya kimya kama hauna point ya msingi ndio uungwana
 
Nimeipenda iyo.. Appliction Chungu nzima....bei nzuri
 
Back
Top Bottom