Joeli
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 4,941
- 3,417
ni bure kama .tk usiogope mkuuKu renew inaweza kula kwetu kama itakuwa na charges
ni bure kama .tk usiogope mkuuKu renew inaweza kula kwetu kama itakuwa na charges
hata .tk ni top level domain ya tokelau ila kwa sababu wewe huna full control ya domain inaweza kufungwa bila kupwe taarifa yoyote na usilalamikekaka free domain zipo mamia ya free domain ila mimi nimerecomend hii kitu sababu nimesoma article ya yahoo kuwa hii ni domain ya gabon, hii inamaanisha haya
1. si rahisi google kuiblock kama .tk, co.cc na co.tv
2. sababu ni domain ya nchi hata wakiifunga kutakua na sehemu nyengine za kurenew
ila kuwa makini hawaaminiki usiifanyie investment sana
.ga ni domain ya gabon lakini pia inaweza kutumika worldwide maana jina lakesio baya. kama wewe ni webmaster na huna budget ya kutosha kununua domain itakufaa hii nenda website hii upate domain yako ya bure http://freenom.com
unaweza kupoint nameserver kwenye hosting yako
unakwama wapi my dear Little Angel
Biashara gani unafanya bila mtaji? Ndo maana watu hatuendelei sababu ya kupenda vya bure.Uzalendo kwenye biashara? Utakufikisha wapi? There is no patriotism when it comes to economics,guy.
kaka free domain zipo mamia ya free domain ila mimi nimerecomend hii kitu sababu nimesoma article ya yahoo kuwa hii ni domain ya gabon, hii inamaanisha haya
1. si rahisi google kuiblock kama .tk, co.cc na co.tv
2. sababu ni domain ya nchi hata wakiifunga kutakua na sehemu nyengine za kurenew
ila kuwa makini hawaaminiki usiifanyie investment sana
Biashara gani unafanya bila mtaji? Ndo maana watu hatuendelei sababu ya kupenda vya bure.
mkuu mbona hata .tk ni nchi pia inaitwa Tokelau
nimegoogle mbona inaonesha tokelau ni zanzibar ya new-zealand
[url=http://en.wikipedia.org/wiki/.tk].tk - Wikipedia, the free encyclopedia[/url]