Off Grid Electricity Company

Off Grid Electricity Company

concrete15

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2012
Posts
882
Reaction score
323
Wana Jamiiforum hapa ndo search engine yangu nani ameshawahi fanya kazi na hawa jamaa please anifahamishe kama ni wazuri ki salariiiii na benefits nyingine niweze nijaribu kutupia ka cv kangu huko :confused2:
 
offgrid-electric.com/ kama ndio hawa we apply ila nimesoma hiyo kazi inaonekana lazima uwe sharp kidogo na akili ya kijasiriamali pia uwe na maarifa kidogo ya renewable energy...binafsi ina fursa kama unajitambua..
 
Asante sana kiongozi so hizi ni zile unalipwa kwa commission kama sales au vipi. mimi ni professional wa mambo ya umeme
 
Wana Jamiiforum hapa ndo search engine yangu nani ameshawahi fanya kazi na hawa jamaa please anifahamishe kama ni wazuri ki salariiiii na benefits nyingine niweze nijaribu kutupia ka cv kangu huko :confused2:

Du watu wengine kusema ukweli wanashangaza sana, how come hujatuma hata maombi unakuja hapa kuomba ushauri.Ushauri bomba ni ule wa kusema jamani nimeitwa kwenye interview na watu wa off grid electric company.Tafadhari mwenye uzoefu na kampuni hiii anijuze.Sasa wewe ndugu unaomba ushauri hata CV yenyewe hujawahi kutuma.Dont think eti job iko easy like yoo think
 
Najua experience yangu kiongozi ni one goal
 
Hahahahahaha labda uwe umesoma Harvard ama Yale lakini kwa vyuo vya kata kama vya UDOM na vile vya vodafasta vya Mzumbe nakupa pole hakuna cha one goal wala nini
 
Wana Jamiiforum hapa ndo search engine yangu nani ameshawahi fanya kazi na hawa jamaa please anifahamishe kama ni wazuri ki salariiiii na benefits nyingine niweze nijaribu kutupia ka cv kangu huko :confused2:

Ulifanikiwa kupata jibu la swali lako? Nakushauri uwatumie CV yako pia, kama bado.
 
Wana Jamiiforum hapa ndo search engine yangu nani ameshawahi fanya kazi na hawa jamaa please anifahamishe kama ni wazuri ki salariiiii na benefits nyingine niweze nijaribu kutupia ka cv kangu huko :confused2:

Kuomba ushauri ni sawa, ur request for advise is completely absurd!! U real rose doubts to think of ur experiece!
Nikusaidie kitu.
Omba kazi ukiitwa utatuomba ushauri,
Dertaminant ya mshahara inategemea hata jinsi utavyo jipresent, hua kuna examption of policy katika sallary scale! Si lazima wakupe kulingana na Scale, wakiona ur a high caliber candidate watakung'ang'ania tuu. And u can twist them to ur expectation scale.
Note that empoyer cant give u an offer without knowing ur compitence.
 
Back
Top Bottom