ELI COHEN
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 9,375
- 28,484
Kuna wakati mke wa mtu kusaliti ilikuwa a one time, 2 time.. mistake ila sasa hivi wake za watu wanashindana kudanga na wakina "zakia mitikisiko" maana wanakuwa committed na mikopo au miadi inayozidi hali zao au ya wame zao kiuchumi so kinachofatia sasa hawezi kuuza vitu ndani bali alichonacho ndani.