Ofa ya meals and accommodation

Webb

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2016
Posts
425
Reaction score
884
Kwa first year aliepo dar, usije ukakosa fulsa ya kusoma chuo kwa vitu vidogo... Jinsia ya kike tu... Me ni kijana around 24s, kama unauwezo wa kulipa Ada, njoo geto tusaidiane maisha. Kila siku nakupa nauli pamoja na ela ya kula, afu jioni ukirudi unapika tunakula. Yani wewe pigania Ada tu, mimi sina uwezo wa Ada. Asanteni, lakini sio kwania mbaya
MAISHA MAGUMU HAYA TUSAIDIANENI JAMANI
 
Masikini form one. Second year wamekua mashankupe
 

Utakufa na UKIMWI
 
In the beginning every thing gonna be alright..! But thereafter....
 
Kwasisi ngozi nyeusi tutaona tabu,kwa wenzetu wala dame hawezi kujivunga maadamu wewe ndo umesema,ila kama hataki kutoa k,hatokupa na ukilazimisha unajikuta na kesi ya kubaka so fast you will wonder
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…