Ofa msimu huu wa sikukuu

echuma

JF-Expert Member
May 20, 2010
311
195
Tunatoa huduma ya ku"Brand" kampuni/ofisi kwa kifurushi kama vilivyoainishwa katika kipeperushi

1.Kwa wateja wa "Basic package" na "Promotion package"ofa zitakazo ambatana na kifurushi zimeainishwa ndani ya kipeperushi

2.Kwa mteja wa "Full branding" huyo atapata ofa ya kumfanyia utafiti kuhusiana na bidhaa yake na nini cha kufanya kwa muda huo kabla ya kuanza kubrand ambapo utatoa muongozo wa nini cha kufanya ili kupata "publicity" na client mind attention

3. Pia ndani ya kifurushi kumeainishwa vitu ambavyo utavikuta kwa kifurushi husika kampuni itakamilisha kifurushi kutegemeana na mteja kwa makubaliano maalum

4.Iwapo utahitaji kampuni ikufanyie "Brand" kama kazi ya kudumu pia unakaribishwa

Mawasiliano zaidi unaweza kunipm au angalia kwenye kipeperushi
 

Attachments

Top Bottom