Pastory Kimaryo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 967
- 664
Kila siku asubuhi kuanzia saa 12 hadi saa 2 ofaa hii inatoa MB 60 bure
Gonga *149*01# then chagua namba 1 after that utaona kama hapo kwenye image then chagua 20 supa then utaiona ASUBUHI SUPA
Hii ni kwaajili ya kupata notifications hasa za whatsapp, vitu soft softMb 60 unatumia zile nokia za zamani na browser ya operamin? Saivi utazifanyia kitu gani kwenye hii mi simu yetu ya kisasa..
Yo welcomeDah asante mkuu
Hii utaiona katika kipindi hicho hicho nilichoainisha 06:00 am to 08:00 am, na pia namba yako iwe active kwenye kufanya miamala na vifurushi vingineHii itakua kwa wateja wa Dar labda, maana mimi siioni
😂Mb 60 unatumia zile nokia za zamani na browser ya operamin? Saivi utazifanyia kitu gani kwenye hii mi simu yetu ya kisasa..