Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,671
- 8,237
Katika yale Maboksi ambayo Azimio waliiomba Mahakama iiamuru IEBC kurudia kuhesabu kura
Hakuna Boksi hata moja lililokutwa na dosari!
.
Kura zilizopo kwenye Maboksi zinalingana na taarifa zilizopo kwenye fomu za Matokeo zilizobandikwa Vituoni na taarifa zake kutumwa kwenye tovuti ya Tume!
.
No matter how the lie runs fast but The truth will come to surpass it
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app