Odinga atia mkono UKAWA

mmevurugwa mpaka hamjitambui kabisa kweli bila maombi nyie mtaharibikiwa pakubwa sana rudini kule bagamoyo kwa waganga wenu.

Pole I zenu ndio akili zenu imani chafu zimewajaa duhh,mnategemea miujiza ndio maana tunawaambia mmechoka ndio maana mmewaeka waganga kuwa wabunge akina majimarefu mmechokaa.
 
wanatumia ubongo wao mungu kauchanganya na kamasi za kondoo uwezi kudhoofisha chadema kwa propaganda za kijinga namna hiyo(mbafu).
 
mkuu, hili siyo la kuchukulia mzaha,kenya wanapuuzia taarifa kama hizi mwishoe zinawagharimu.

Ni kweli wewe unaipenda nchi yako. Yakitokea machafuko haohao ndiyo wa kulaumu usalama wa taifa. Hata mbuyu ulianza kama mchicha. USA walimdharau mhabarishaji kwamba ni kichaa jengo kuu la kitega uchumi likalipuliwa. Nchi kwanza vyama baadae. Bila nchi hakuna vyama.
 
TataMadiba, thatha,

..katika wanasiasa wa Tanzania Pombe Magufuli ndiyo rafiki mkubwa wa Raila Odinga.

..mpaka leo Pombe Magufuli anavaa kofia za "orange campaign" ya Raila Odinga.

..mimi nadhani Raila akijiingiza ktk siasa zetu basi atakuwa upande wa Magufuli na CCM.

..Pia kuna Kalonzo Musyoka ambaye alitoa kauli za kumuunga mkono JK wakati wa kampeni za 2010.
 
Last edited by a moderator:
Mleta mada hii hadithi yako inatufundisha nini??????.
 
Invisible, kama kuna jukwaa la hadithi nafikiri ni vizuri hii ikahamishiwa huko. Hadithi za Shigongo hazitakiwi kuwa na nafasi kwenye jukwaa la siasa!!
 
Last edited by a moderator:
Njaa na uroho wa madaraka mpiga disco anataka kuteletea shida zake

mbona mmeongozwa na mpiga picha kwa zaid ya miaka kumi na hamnzungumzii,au mnafikiri hatujui kuwa yule kipala alikuwaga cameraman
 
Hivi vichwa vyenu vimejaa maji au ugali?hii ni habari?Basi hivyo vyombo vya usalama vimkamate John Magufuli aliyekwenda kumfanyia kampeni huyo Odinga.
 
tusipuuze mambo haya kwa sababu tu CHADEMA wameguswa,tujipande kukabiliana na maadui wanaotuzunguka hasa ukizingatia ODINGA anatuhumiwa kufadhili makundi ya umwagaji damu nchini Kenya, si busara kupuuza habari inayomhusu hata kidogo.

Kama anatuhumiwa tungesikia yupo thehague,wanaotuhumiwa ndio wapo kotini.
 
Ukawa ndio habari ya mujini..magamba lazima mjinyee..
 

Hapa nia ya magamba ni propaganda za kuhakikisha wanavunja umoja wa ukawa,ndio maana wanawachomekea nccr na cuf eti wanafuata mkumbo.
 
Hivi hii nayo habari? Mnatujazia saver tu kwa upuuzi!

Wakenya maskini hawakuhitaji EL- SHAABAB ila viongozi wao potofu wamewaingiza kwenye mchezo huo daima maskini tutatumika kwa manufaa ya wakubwa na vibaraka wao
 
Maccm yaache yakalie propaganda tu, UKAWA wanasonga mbele, hata mtumie magazeti ya kucha..mbia bado moto ni ule ule, Mnatafuta namna ya kuchonganisha wana UKAWA lakini kabla hawajajiunga walishajua hilo mapema,

Umewapasha
 
Ndio aliwashauri CHADEMA wajilipue pale SOWETO.
kwa siasa za nchi hii very soon unayoyacheka kwa familia zingine yatatua NYUMBANI KWAKO utaonja uchungu wanaoupata
watanzania wenzako sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…