Odinga atia mkono UKAWA

propaganda zingine hata hazina mashiko,pia tambua kuna vyama rafiki ,mfano ni chama cha Anc cha Africa kusini,miaka ya nyuma walishawai kuitembelea ccm na kutoa msaada.
pia chama tawala cha china,wote tunafahamu wana share same political ideologies na ccm,though ccm wao wame base sana kunyonya wananchi sio kama wenzao wa china.
sioni tatizo cord kushirikiana na cdm...acheni woga ccm,adui yenu ni wananchi ambao wamesaulika na serikali yao,wala so chadema.
 
Nonesense...!

Kwanza hakuna mjumbe wa Kamati Kuu wa CHADEMA mwenye jina la Fulgence Mapunda

Pili,Wangeweka wazi ni akaunti ipi hizo fedha zililipwa

Achana nao hao. Sasa hivi wanatupoteza kwenye lengo kuu la mgomo wa UKAWA Na maelezo ya 200B za IPTL. ukiona mwizi anapiga gitaa usidhani ana nia ya kukuburudisha bali anakuzuga.


Sent from my iPad using JamiiForums
 
mbowe hata ashauriwe vp hawez kufanikiwa. IQ yake ni ndogo, u DJ ulikuwa unamfaa sijui kwa nin analazmisha siasa

Wewe mburura kweli,iq ya mtu unaipimaje?Huwezi kamwe kumlinganisha Mbowe na viongozi wa ccm,huwezi hata siku moja,Mbowe ni greda na vi ccm ni vijembe,angalia ujengaji hoja,usiimamizi na uongozi,chama hadi leo ni imara sana chini ya uongozi wake pamoja na propaganda chafu za ccm nyiingi!mtakufa kwa pressure siku moja
 
Maccm yaache yakalie propaganda tu, UKAWA wanasonga mbele, hata mtumie magazeti ya kucha..mbia bado moto ni ule ule, Mnatafuta namna ya kuchonganisha wana UKAWA lakini kabla hawajajiunga walishajua hilo mapema,
 
mkuu, hili siyo la kuchukulia mzaha,kenya wanapuuzia taarifa kama hizi mwishoe zinawagharimu.

Acheni upuuzi vipi mmeona kumtumia msajili wa vyama haitoshi sasa mmeamua kumwingiza Odinga kwenye uchafu wenu.
 
Huu ni upuuzi mtupu! Mwandishi nakaaa mezani anaota ndoto anandika na watu wanafuata kama kondoo?
 
Kiwanda cha Propaganda za kipuuzi na za kijinga'
 
Kwani Odinga nchini kenya alifanya kosa gani?
Kwani yeye ndo alikuwa akiuwa raia wasokuwa na hatia?
Au serikali ya kenya baada yakulazimisha matokeo wanayoyataka wao
au baada ya kumchakachua odinga??
Hata Tz wakiendelea na uchakachuzi wa matokeo wakati wa uchagizi hapatatulia kabsa!!!
Na kama Odinga ndo mwenye makosa mbona hajashtakiwa mpaka sasa???
 

Kumbe ni sauti huru! Wapikaji wa habari! Washamba wa propaganda! alah!
 

umoja wa vichaa ccm naona mko kazini,viongozi wenu wanaongoza nchi kwa propoganda na nyie mnawajibika kila mda mitandaoni mkieneza uzushi mkidhani kuna kundi litashawishika ama kiwaunga mkono,hapa mtabaki nyie kwa nyie mliosaini kufanya kazi isyotumia akili.
 
Mfa maji haishi kutapatapa mnalo mwaka huu na mwakan mpaka kieleweke, magamba lazima yavuke tu
 
UKAWA INAbaBUA HATA SUFURIA ZINAZOTUMIKA KUKAANGIA MAJUNGU ! NA BADO .
 
Railla hafai anawapiganisha wakenya kila siku halafu yeye anakula bata na familia yake atukome kabisa.
 
vp chama tawala nchini msumbiji FRELIMO kilivyokisaidia chama cha mapinduzi Kwa kukipa magari pia kuarika viongozi Wa vyama mbalimbali nchi jirani katika mikutano yake kama vile KANU cha Kenya ZANU PF cha Zimbabwe nk
 
Mfa maji haishi kutapatapa mnalo mwaka huu na mwakan mpaka kieleweke, magamba lazima yavuke tu

sasa we bavicha unajitambua kweli kwa mawazo yako ukawa ni chombo cha kukukomboa wewe na kumaliza matatizo kweli.
 
Acheni upuuzi vipi mmeona kumtumia msajili wa vyama haitoshi sasa mmeamua kumwingiza Odinga kwenye uchafu wenu.

mmevurugwa mpaka hamjitambui kabisa kweli bila maombi nyie mtaharibikiwa pakubwa sana rudini kule bagamoyo kwa waganga wenu.
 
Chondechonde ukawa msitie maguu dodoma, waachie maccm watunge katiba yao ya kiccm huku wakiendekeza ufisadi wao wa laki 3 kwa siku huko dodoma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…