Odinga ataka kifo cha General Ogolla kichunguzwe haraka kwani Wananchi Wana hofu ameuawa!

Kuna vyanzo mbalimbali vya ajali, zipo ajali ambazo hutokea kwa sababu ya bahati mbaya (kudra za Mungu), Uzembe, sababu za kutengenezwa (kupangwa), n.k.

Nyingine hii. Ajali za helicopter ni common sana. Nyie conspiracy theorist mnadhani kila ajali ni mchongo na mnaamini maskini tu ndo wanatakiwa kufa.

1000111555.jpg
 
Ground all military choppers and make throughly technical investigation on incidents and accidents of those choppers.
It might be poorly maintained and operated.
 
Back
Top Bottom