Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,436
- 5,234
Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA ) Odero Charles Odero anadai kwamba hadi sasa hakuna kikao chochote rasmi kilichofanyika ndani ya chama hicho ambacho kimeazimia kwamba chama hicho hakitashiriki maridhiano yanayotarajiwa kufanyika hapa nchini siku za usoni,
Soma Pia:
Soma Pia:
- Odero: Pamoja na Lissu kuwa gerezani hayawezi kumzuia John Heche kukutana, kupeana mkono na Rais Samia
- Odero: Si kweli kwamba CHADEMA haitaki Mariadhiano